Ndugu Watanzania wa DC, nafahamu Rais wa mapinduzi Zanzibar Mh. Karume alifanya maongezi na Watanzania wa hapo. Jee mswada mkuu ulikuwa nini?
Please naomba mtumegee hizo hint
Wameweka links tofauti na habari iliopo ndani.
BBC idhaa ya kiswahili inaonekana katika siku za hivi karibuni kuna dalili za uzembe.
Katika tovuti yake tegemeo kwa waswahili wengi hasa wale...
Nimesikia na kusikiliza mengi ila hili jina la CCM naona limebeba urefu wa maneno mengi kila mmoja na tafsiri yake ukilinganisha na vyama vingine vya siasa.
Je wewe kama mfuatiliaji wa siasa za...
Mwandishi Wetu
Daily News; Wednesday,May 14, 2008 @08:00
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeanika hadharani nyaraka zote zinazoonyesha kuwa mazungumzo baina yake na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
A look at some of the deadliest natural disasters around the world in the past 40 years:
May 2008: Earthquake (magnitude 7.9) hits Sichuan province in central China. Thousands are killed.
...
Kuna tetesi kwamba Mahita yupo kwenye jela ndogo (jela ya nyumbani) kwa sababu yupo chini ya uangalizi kwa kuwa alishirikiana na baadhi ya RPC na kina Zombe na kusupport mitandao ya majambazi hapa...
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla,
Mahali fulani katika jukwaa hili suala la falsafa limehojiwa. hojaji hiyo imeambatana na madai ya kwamba taasisi zetu za kisiasa(vyama) havina misingi ya...
Kumbe hata ccm wamechukizwa na ufisadi wa jamaa zao? Wawaomba watanzania tuwaamini,tuwasadiki, je ni kweli ni vema kuwaamini kwa sasa kwa jinsi walivyotufikisha hapa tulipo?
Kwa kuwa umoja...
Nini Ajenda ya JF 2010?
Kama Tunavyoelewa kwamba sisi na Wananchi kwa ujumla tumechoshwa na ufisadi na uongozi mzima wa Siri-kali yetu.Tumebakiza miaka 2 kufikia uchaguzi wa 2010.
Ningependekeza...
Juu ni picha ya gazeti la wamiliki wa mtandao wa www.tzuk.net (tzuk.com).
Likiwa kama nakala ya kwanza ya gazeti, nathubutu kusema kuwa limetulia, lina kurasa 15, zile zenye habari,picha na...
ama kweli tz hatuko huru,na uhuru wenyewe ni kharaha kabisa..katika zurula yangu sehemu mbalimbali nimefanikiwa kupita Mkoa wa Kagera baadhi ya sehemu.
jamani!!!!!!kuna belia(vuzuizi barabarani)...
Inaelekea mkuu wa nchi haelewi njia za kukuza viwango vya makandarasi wetu.
Kama miradi karibu yote wanapewa wageni kwa asilimia 100, je hawa wa kwetu watajifunza vipi? Hakuna technology transfer...
Hope mko sawa,
Kuna mtu wangu wa karibu katumiwa email iliyo andikwa kama ifuatavyo,
Hello
PLEASE READ AND GET BACK TO US IF YOU ARE INTERESTED ( NOT SCAM)
AuPair is an International...
If you are preparing for a career in IT or are new to IT, many of the dirty little secrets listed below may surprise you because we dont usually talk about them out loud. If you are an IT...
Wikiendi hii nilienda kuwacheki masela, mabaharia na machizi basi hapo ndani ya Upper West Side ya Soweto, six degrees north of nowhere -ruptured from the fabric of spacetime continuum if you get...
> Jumanne Mei 06, 2008 Habari za Kitaifa Habari zaidi! Aliyekutwa na kichwa cha mtoto kortini kwa mauaji Veronica Mheta na Emil SimonDaily News; Tuesday,May 06, 2008 @00:03 Habari nyingine...
Tatizo:
Kufurika kwa maji katika mitaa ya Jiji la Dar-es-Salaam na kusababisha usumbufu mkubwa kwa magari, wapita njia na uharibifu wa barabara na majengo.
Kwa miaka nenda rudi maeneo ya...
Mtoto wa Mbunge Keenja afutiwa dhamana
Habari Zinazoshabihiana
Baada ya bintiye kunyimwa dhamana...Keenja aingilia kati, yatolewa 27.03.2008 [Soma]
'Mtoto' wa Mbunge kizimbani...