Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,743
Nimesikia na kusikiliza mengi ila hili jina la CCM naona limebeba urefu wa maneno mengi kila mmoja na tafsiri yake ukilinganisha na vyama vingine vya siasa.
Je wewe kama mfuatiliaji wa siasa za Tanzania na vyama vyake kutokana na hali ilivyo tokea unapokumbuka mpaka hii leo conclushen yako ni nini juu ya kirefu cha CCM zaidi ya msemo maarufu wa " CHAMA CHA MAPINDUZI "
Kwa upande wangu nimeona kirefu na mabacho kinabeba uzito ulio na maana ya kina kabisa ni CHAMA CHA MATAPELI.
Chama cha matapeli CCM kinautapeli tokea kwenye uchaguzi mpaka kwenye majukwaa,Raisi Mkapa ni tapeli mawaziri wake matapeli haya madili makubwa makubwa yote wamefanyiana utapeli wenyewe kwa wenyewe.
Kikwete amewatapeli wananchi kwa kuwaahidi maisha bora kwa kila Mtanzania wananchi walio wengi wakainunua sera ya kasi mpya nguvu mpya na ari mpya ,leo jamaa anapanda paipu akielekea maulaya utazani anaenda kulala zamu (ameoa wake zaidi ya mmoja)
Sijui nyie wengine mtaiona vipi maana ya CCM ,hebu elezeni vile muionavyo CCM ,dah chama hakina dira wala lengo ni wizi tu !!Kila unapopagusa basi wameshapita na kumega !!!