Cultural Exchange Program

Kaka K

Senior Member
Feb 9, 2008
129
4
Hope mko sawa,
Kuna mtu wangu wa karibu katumiwa email iliyo andikwa kama ifuatavyo,

Hello

PLEASE READ AND GET BACK TO US IF YOU ARE INTERESTED ( NOT SCAM)

AuPair is an International Cultural Exchange program that enables young
people to travel and live with a family in another country for usually 1
year. While you live with the family, you are expected to help them by
minding the children or helping in housework. In return the host family
provides you with the following:

1. Free food and accomodation
2. Free medical insurance cover
3. Free language course
4. Montly allowance of Euros 260.


At the moment, we have many opportunities for the young people in Tanzania
who meet eligibility requirements to live with host families as AuPairs in
Germany for 1 year.

For more information about International Aupair Exchange programs, please
check on this site www.superaupairs.com


Yours Sincerely

Jeff Nteere
Agency Relations Manager
Super Aupairs
P.o Box 8139-00100
Nairobi, KENYA
Tel. +254-20-2220-961
Mobile: +254-720-559-557
Email: info@superaupairs.com
Website: www.superaupairs.com

Swali, kuna mtu yoyote anafahamu hiki kitu? Kuna ukweli wowote? Maaana nimejaribu kutembelea website yao kwa haraka haraka ila kuna vitu vime niacha njia panda. Kama kuna ukweli basi vijana wetu wanaweza kujaribu hako anagalau wakapata chochote lakini zaidi sana exposure ndo faida zaidi.
 
hivi vitu vipo vingi tu,kipo kimoja hapa bongo nachokina shughulika na hizo exchange program.hiki ninahuakika nacho ngoja nikitafute kwenye website nitakiweka hapa.
 
Kaka K,
Nimesikia kuhusu kuwepo kwa Aupairs programme, lakini sijawahi kukutana na maelekezo ya kuhitaji watu kutoka Tanzania. Nililofahamu hapo nyuma ni kuwa huu mpango ulikusudiwa zaidi kwa nchi za ulaya kwa kulenga zaidi nchi za ulaya ya mashariki e.g.Poland na wenzake.

Vigezo vyote ulivyotaja hapo ni sahihi na kwa kweli si wazo baya zikipatikana taarifa za uhakika, basi na ndugu wengine wapate mwanya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom