TZUK.com ina gazeti jipya, toleo la kwanza nambari - 0001

Enigma

Senior Member
Feb 29, 2008
109
62
2vkfhb9.jpg


Juu ni picha ya gazeti la wamiliki wa mtandao wa www.tzuk.net (tzuk.com).
Likiwa kama nakala ya kwanza ya gazeti, nathubutu kusema kuwa limetulia, lina kurasa 15, zile zenye habari,picha na nyingine zenye matangazo. Linatolewa bure (sijui mbeleni). Sasa nadhani Tanzania nayo itakuwa imepata gazeti lake litakalo ungana na magazeti mengine mbalimbali toka Srilanka, China, Fiji nakwingineko yanayopatikana bure kwenye baadhi ya kona za jiji la London. Inzi huyu katika pitapita kalinasa pale Bond Street opposite na tube station.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom