Tutamsaidiaje Jk?

IsayaMwita

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
1,127
140
Kumbe hata ccm wamechukizwa na ufisadi wa jamaa zao? Wawaomba watanzania tuwaamini,tuwasadiki, je ni kweli ni vema kuwaamini kwa sasa kwa jinsi walivyotufikisha hapa tulipo?

Kwa kuwa umoja wa vijana (ccm)pale Tanga wameomba wale wote waliojiusisha na ufisadi waachie ngazi na pia kuwabishwa, je hii itatosha tena kukisafisha chama hicho ?

Tutegemee style gani 2010 wakati wa kampeni ? ama sera yao ya ccm itakuwa tumejenga mashule kila kata na zahanati , tunajua tumekabana michango ndipo zikajengwa,kibaya zaidi watashinda kwa kishindo, hebu inakuweje?

Haya jamani JK kafanya tena uteuzi wa baraza la mawaziri hii itainusuru serikali yake na haya yanayoiandama?

Mungu msaidie JK, Mungu ibariki Tanzania.

Wana forums nielewesheni kwa haya jamani
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom