Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wenzangu hakika jana nimejua kweli nyama ya kitmoto inapendwa bar nyingi za sinza zilianza kufurika watu wa kila aina tofauti na hapo nyuma mwezi mmoja uliopita...hii inaashiria mwanzo wa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
SERIKALI YA UBUNGO MATAA Nilikuwa kwenye kituo cha basi ( standi ya mkoa ) asubuhi nikasimamisha taxi ambayo ilikuwa inatokea ubungo kwenda shekilango , nilipoingia ndani ya gari mara vijana 2...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mamboz! Kwa wale mlio nje ya Tz jaman mnasoma news kutoka website gani ambazo ziko current. Maana ukicheki Mwananchi.com au ippmedia.co.tz mambo yametokea juziiii ndo yanaandikwa leo. Tena w-end...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana JF kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hivi kweli nchi kama Tanzania pamoja na resources tulizo nazo tunashindwa kuzalisha umeme wa kututosheleza na hata kuuza nje? Tuna vyanzo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mafisadi wakomba zaidi ya shilingi trilioni moja serikaliniNI FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA SITA Na Mwandishi Wetu ZAIDI ya Sh1 trilioni zimechotwa nyakati tofauti kutoka serikalini katika miaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waiomba serikali iwachunguze afya Wakazi wa kijiji cha Kapunga wilayani Mbarali Mkoani Mbeya wameiomba serikali kupeleka wataalamu kuchunguza afya zao kutokana na hofu ya miili yao huenda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mimi ni mwana JF. Jina langu ni William Andindilile,nimesikitishwa na utendaji mbovu kwenye shirika la Tanesco na kazi imetangazwa ambapo wameweka sifa za mtu anayetakiwa kuongoza shirika hilo na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Aliyefariki dunia akiuliza swali Bandari azikwa na Hellen Ngoromera ALIYEKUWA Mfanyakazi wa Idara ya Uhandisi Ujenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ofisi ya Bandari Dar es Salaam...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Watanzania wategemee nini kwenye 'PH' ya Liyumba? Happiness Katabazi SEPTEMBA 25 mwaka huu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, imepanga kusikiliza maelezo ya awali...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna mwanamke mmoja mujiriwa mahali fulani bosi wake amekuwa akimtaka kinguvu. Bibie baada ya kuchoshwa na kero hizo akamshitaki kwa kitengo husika, human capital, uchunguzi ukafanyika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kilimanjaro Association for Tour Operators KIATO website is hacked by TURKISH HACKER and it is a great BEWARE to webmasters. I do not know how they wil get hold of their domain. Anyhow!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TABIA ya Wafuasi wa Vyama vya siasa Kisiwani Pemba kufanyiana vitendo vya hujuma bado inaendelea ambapo sasa imehamia katika kuhujumu mifugo. Katika matukio mawili yaliyotokea juzi na jana katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
2009-09-19 09:17:00 Tanesco boss' exit set as job is advertised THE CITIZEN Tanesco managing director Dr Idris RashidiThe board had an option to extend Dr Rashidi�s contract by two years...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jacksonville, Florida, USA, A Kenyan man man faces two sexual battery charges following his arrest in a local nursing home. According to the Jacksonville Sheriff's Office, it happened just after...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Date::9/19/2009Mafisadi wakomba zaidi ya shilingi trilioni moja serikaliniNI FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA SITA Na Mwandishi Wetu Mwananchi ZAIDI ya Sh1 trilioni zimechotwa nyakati tofauti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I have just received this e mail from someone. Thought that I should post it here. Is there anyone with a similar story or experience? Friends, Please be careful when going to Dar-es-salaam...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau! Hili limekuwa tatizo kubwa, maana utakuta kila siku waumini wanaambiwa wasije na simu zao makanisani lakini ndy kwanza hawasikii... Simu nyengine milio ni mikubwa n mbaya zaidi utakuta ni...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Last updated at 6:51 PM on 19th September 2009 Enlarge Romell Broom: Veins hard to find A second attempt to execute a murderer and rapist by lethal injection has been temporarily halted by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Last updated at 6:51 PM on 19th September 2009 Enlarge Romell Broom: Veins hard to find A second attempt to execute a murderer and rapist by lethal injection has been temporarily halted by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba msaada kama mtu yoyote anafahamu licence adoption agency in Dar Es Salaam, TZ. Pls kuna mtoto nataka kumchukua, naomba msaada wenu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom