Toboamambo
Member
- Sep 16, 2007
- 26
- 5
ama kweli tz hatuko huru,na uhuru wenyewe ni kharaha kabisa..katika zurula yangu sehemu mbalimbali nimefanikiwa kupita Mkoa wa Kagera baadhi ya sehemu.
jamani!!!!!!kuna belia(vuzuizi barabarani) nyingi hadi ni kero!KERO!!KERO!!!!!
kutoka sehemu iitwayo Nyakahanga katika wilaya ya Karagwe hahi Bukoba,zipo belia zaidi ya nne(ambazo ni Nyakahanga Hospital,Kihanga,Kitengure,Mwisa,Kyaha na Rwamishenye).na kwa wastani utatumia dakika tano hadi kumi na tano(robo saa) kila belia moja...ati tuna uhuru??????
katika zote Mwisa ndiyo ovyo na mbaya kabisa hata uvundo upo.saa 12 huruhusiwi kupita na ni mchana kweupeeeeee peeeee.jamani???????????na utaambiwa ulale Kyaka au uludi Bukoba.pia ni chanzo cha RUSHWA!!!!!hivi ni uhuru au kharaha ndani ya nchi yetu wenyewe????