Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Paul Karason ameweza kubadilisha rangi yake ya ya ngozi kwa kunywa coloroidor silver. fuata link kusikiliza maelezo yake. http://www.worldstarhiphop.com/videos/video.php?v=wshhwY07Q6I0VX3
0 Reactions
0 Replies
2K Views
'NO RECOURSE TO PUBLIC FUNDS' ni sentensi fupi tu ambayo inaonekana kwenye visa yangu, na to be frank, sikujali sana kutafuta maana ya maneno hayo miaka mitano iliyopita waliponigongea.Hii...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jumapili tarehe 16 Desemba. Jioni. Wazalendo kumi na moja toka Afrika Mashariki walijitolea mhanga toka vitongoji kadhaa vya London kuchangia mawazo katika kikao kilichopitisha katiba ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Weka maoni yako ukiwa na vigezo vya msingi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nikiangalia ahadi zilizotolewa na Mh. Rais Kikwete na muda uliopita tangu orodha hizi za mambo yanayowakera Watanzania zitolewe, kinamna fulani naanza kuhisi kuwa, utabiri wa Mwl. Nyerere (RIP)...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Putin, the Kremlin power struggle and the $40bn fortune Luke Harding in Moscow Friday December 21, 2007 The Guardian An unprecedented battle is taking place inside the Kremlin in advance...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Afya ya Dr. Idrisa Rashid aliyekuwa Gavana BoT ni mbaya? anaumwa nini? na mke wake wa pili alikufa na nini? na sasa nimesikia ana mke wa kiarabu kama wa mshika dau. mwenye data anipe hapa.
0 Reactions
24 Replies
8K Views
FINANCIALS SECTOR | COMMERCIAL BANKS INDUSTRY Wachovia Corp. (WB:NYSE) Charlotte man helps villagers get fresh water: 2 pumps he raised money for installed at orphanage in Tanzania [The...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani TUT (TVT&RTD) leo usiku (kesho!!) wamesema wataonyesha mahojiano kati ya JK na waandishi jana IKULU, lakini naona kama wanaikebehi IKULU kwa kuwa wameambia wasitoe hadi tarehe 21 Desemba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Makala hii imetoka kwenye Tanzania Daima leo. Kwa bahati mbaya kwenye tovuti yao haionekani (kama ilivyo kwa makala nyingine). Kwa faida ya wasomaji, mashabiki na wakosoaji ninaiweka hapa kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama Vile Walikuwa Wanaigiza Filamu Ya Kivita Majambazi Wapatao 3 Walikuwa Ndani Ya Gari Lao Wakiwafuatilia Raia Wa Kigeni Waliokuwa Wanatoka Mjini Kuja Uwanja Wa Ndege Wa Mwalimu Nyerere ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini waungwana . Habari toka kila kona ya Nchi na Jiji zimezidi kuvuma na kuvumika kwamba JK anakaribia kuvunja ufalme wake na aweke wapya ili kukinusuru Chama chake cha CCM.Kumekuwa na kashfa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Duh kumbe haya mambo ni kila mahali tuu yapo? Nilikuwa naangalia BBC jana naona jamaa wanarushiana vichwa wakiwa wamevaa suti na tai sio mchezo. Jamaa wanapanda juu ya meza na kurusha vichwa kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo mida ya saa nane kamili (14:00 EAT) Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete atakuwa na mkutano na waandishi (wachache) wa habari Ikulu. Ajenda kuu ikiwa ni kuongelea uongozi wa nchi chini yake ndani ya...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
What new city plan must have A NEW KAMPALA: Joshua Wandera It was interesting to read President Museveni’s article: “God gave you the authority to look after your city, use it” (New Vision...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
FAUSTINE KAPAMA Daily News; Wednesday,December 19, 2007 @00:02 Also in the News Poor clinch climate change deal Special tri-cycles for Health Centres Moshi Rural constructs 228 classrooms...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MOJA ya mambo ambayo hatuwezi kulaumiwa kwamba tuna uhaba nayo bila shaka ni sherehe. Sisi kama Taifa tunazo sherehe chungu nzima. Zipo zile sherehe ambazo zimepangwa katika kalenda ya kila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa nasikiliza radio maria kutoka magazetini nikasikia habari ya kushangaza sana. Yaani serikali imeamua kuagiza Bajaji badala ya Ambulace kubebea wagonjwa! Jamani sijui nyie mnnaona...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
MIAMI - The honeymoons are over for a 26-year-old woman who authorities say has at least 10 husbands. Eunice Lopez has been charged with bigamy, accused of marrying 10 men between 2002 and 2006...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ninaomba kuuliza, Katika one calender year , mbunge wa Tanzania anatumia muda gani katika jimbo lake.? Mbunge anatumia siku ngapi katika session za bunge katika mwaka? Mbunge anatumia siku...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom