Barack Obama Special Thread - continued...

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,725
2,000
Mods vipi bana....kwa nini mmenifungia kule kwa Obama? This is not fair y'all
 

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,133
1,500
vipi mbona huku kuingia ni pagumu sana...leo ndio leo sasa naona starehe zote mnatumalizia,rekebisheni basi hivyo vi cookies.
 

Koba

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
6,133
1,500
jamani sasa kama baada ya haya matokeo ya leo na Clinton akiendelea tutajua ana nia moja tuu...to destroy Obama maana theres no way akashinda hii nomination!
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,725
2,000
jamani sasa kama baada ya haya matokeo ya leo na Clinton akiendelea tutajua ana nia moja tuu...to destroy Obama maana theres no way akashinda hii nomination!

Chukua taimu wewe...ku destroy chama ndio nini?
Mama anashinda Indiana halafu tunakutana WV....upo hapo?
 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,228
2,000
NN, Koba, YNIM..
....hata mimi nashindwa kabisa kuingia ktk ile thread.......mods what is happening?
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,725
2,000
ingia kwa page yeyote ya zamani baada ya ku-log in kama kawaida na utakuwa able kupost and therefore kwenye current page!!! najua hai-make sense, lakini nimefanya hivyo ktk post zangu mbili za mwisho kwenye ile thread.

Sasa wewew ndio umeongea nini hapa...?
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,725
2,000
kuna uwezekano usiku huu ndio ikawa mwisho wa hizi primaries!!! kwani IN inaweza kwenda BO, ile kona pale Gary (lake county) bado haija-report.......margin kati ya HRC na BO ni 30kish na jamaa wana-suspect kuna kura nje takribani laki tatu!! kazi ipo....bwahahahahahahahahaha, change we can believe in....yes we can!!.

hakuna cha Rev. Wright, sijui gas tax holiday wala nini! americans wameamua kuwa serious na wana-vote kwa kufuata issues na mkumbo wa media wa gaffes, sijui scandal, associations or pandering za candidates wengine (makopo na billary).

Kwa hiyo Obama akishinda leo anakuwa rahisi wa Marekani?
 

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,583
0
Dah nilifikiria wamenifisadi, nikadelete cookies zote wapi...mods inakuwaje au ndio kuhamisha na kufuta baadhi ya majukwaa?
 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,228
2,000
Mama ajitokeze basi atoe speech yakeeee....yaani anataka kusubiri mpaka saa sita usiku
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,725
2,000
nimesema kwenye hiyo post kwamba najua "hai-make sense" lakini nimefanya exactly hivyo na nimepost kule like 5min ago..............

NN, halafu mie nimechoka sana huu mchezo wa kufanyana majuha na criticisms zisokuwa na maana..........i'm really tired!. STOP.[/QUOTE]

Acha kulia lia kaa demu. Hebu gangamala kidogo basi...
 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,228
2,000
....haya sasa ma-pundits wameanza kelel za Michigan na Florida.......wameacha mambo ya electability.....mwaka huu watatafuta kila aina ya sababu
 

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
500
Kupost kule kwenye topic inabidi uchague page number za kati na upost kutokea hapo na sio uchague last page. I hope that helps, na uanze kwa delete cookies halafu fanya hivyo.
 

Ogah

JF-Expert Member
Mar 10, 2006
6,228
2,000
mazee vipi.......ulituacha kwenye mataa jpili............Haya tukaangalie kamama sasa kanatoa speech
 

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
500
mazee vipi.......ulituacha kwenye mataa jpili............Haya tukaangalie kamama sasa kanatoa speech
Mazee Jumapili kulitokea matatizo ya kiufundi kidogo lakini wiki hii kama kumsukuma mambo yataendelea kama kawa.
 

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
500
Okay guys naingia LIVE sasa hivi na Slow Jamz ndani ya Bongo Radio na request zinaruhusiwa mambo ya slow Jamz ya zamani na sasa ndani ya www.bongoradio.com
 

Rufiji

Platinum Member
Jun 18, 2006
1,829
2,000
Hivi mapundits waliodai Obama atashindwa North Carolina vibaya wanajisieje ? Walisema Indiana itakuwa blow out ....Mama naona amechoka kabisa , Jamani let's learn to give credit where it's due ....Obama amewashock mapundits wote waliosema ameshindwa baada ya perfomance ya Dr. Wright. Mama leo anaonekana amechoka kabisa ...
 

Kitila Mkumbo

JF-Expert Member
Feb 25, 2006
3,350
2,000
Hata mimi naona kule siwezi kuingia, nilifikiri peke yangu kumbe tupo wengi!

Kwa kweli matokeo ya jana yamenikata maini kabisa. Na nafikiri kwa hapa alipofikia kuna haja ya ya Fighter Hillary kumpisha huyu kijana aendelee. Inauma sana kushindwa lakini sasa ndiyo hivyo inabidi akubali tu yaishe. Hata mimi ningekuwa super delegate baada ya matokeo haya ningemshauri kabisa Fighter Hillary akabidhi mikoba kwa Obama ili safari iendelee.
 

Fundi Mchundo

Platinum Member
Nov 9, 2007
7,660
2,000
Just out of curiosity, kwa sababu mmeileta humu.Kweli kuna watu humu JF waliokuwa wanamshabikia Billary? Inanikumbusha hadithi ya kaa wa kiafrika!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom