Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hi, Sorry fro cross postiong but this is due to my understanding that yo have got so many ways of postiong this online and make it known to many people than i do. Ninaandika haya nikiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Of all the people in the world these great fighters against CORRUPTION had the guts to stand and say wameridhishwa na hatua zilizochukuliwa na SERIKALI maana yake ni kwamba zile BLAH BLAH za PINDA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KWA umoja wao vyombo vya habari Tanzania baada ya kuwa co-opted na wajanjuzi wa Chama twawala waliwaona wagombea ukuu wa chama hicho kuwa ni malaika. Miaka miwili na nusu baadaye leo Alhamisi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
...urais vijana wa Tanzania? Tunaona wenzetu Wamarekani pamoja na kuwa ni Taifa kubwa lakini limewaamini vijana wenye umri sawa na miaka ya uhuru wa Tanzania. Obama ana miaka 47 na VP wa Mcsame...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inaelezwa kuna watoto wa shule wamefariki na wengine kuzimia kufuatia zoezi la chanjo linaloendelea. Mwenye habari kamili atoe.
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Ni hapa hapa Dar es salaam, katika Shule ya Msingi Mkunguni ambako watoto wapatao tisa walianguka juma lililopita kwa mapepo. Juzi zaidi ya wanafunzi 20 walianguka na kupoteza fahamu huku wengine...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
katika hali ya kushangaza Mbunge wa kuteuliwa Kingunge Ngombare mwiru amewashangaa wabunge wa CCM wanaoiponda serikali kwa madai ya maslahi ya taifa badala ya kukutetea na kukilinda chama chao...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
BT launches TelePresence: BT has raised the quality bar yesterday by introducing a revolutionary new "virtual meeting" system it believes will transform the way people work with remote colleagues...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangazo la serikali kuzuia mabasi uingizaji wa mabasi ya abiria yenye zaidi ya miaka 5 ni Ufisadi wa hali ya juu na hujuma kwa sekta ya usafiri Tanzania. Nataka kuingiza mabasi ya bairia ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Date::8/28/2008 CUF waisakama serikali kuhusu Richmond, EPA, rada, ufisadi ..... Kizitto Noya na Saa Mohamed Mwananchi MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Malaysian opposition leader Anwar Ibrahim has won a landslide victory in a by-election in Penang. A high turnout saw his People's Justice Party winning 31,195 of 47,000 votes, the Election...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajeshi wadaiwa kutembeza kipigo kwa raia, 10 taabani Na Mwandishi Wetu,Tanga BAADHI ya askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kambi ya Maramba mkoani Tanga wanadaiwa kutembeza kipigo...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Ni kujenga maisha bora kwa watoto au kujenga jina bora kwao Agosti 27, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke, Uzitoni Street, Bongo. Ewe mpenzi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanaharakati wataka JK abadili uamuzi kuhusu EPA Na Gaudence Massati MTANDAO wa mashirika yasiyo ya kiserikali yanayotetea Usawa wa Jinsia, Haki za Binadamu na Ukombozi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndullu akataa kutaja adhabu'waliochemsha' BoT Na Reuben Kagaruki GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, amesema hatarajii kutangaza leo wala kesho hatua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ya pili duniani kwa utozaji mkubwa wa kodi za mawasiliano,ambapo inatoza gharama ya asilimia 30 ukilinganisha na Uturuki ambayo ni ya kwanza kwa asilimia 45.Viwango hivyo ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndullu also must go. He was there as a deputy governor throughout BoT scandals namely EPA, dubious payments to fisadi Mkono, overstated cost of buulding twin towers etc. BoT board of directors...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ajiunga CCM na kuibua siri nzito NCCR na Mwandishi Wetu MKURUGENZI wa Oganaizesheni na Uchaguzi wa NCCR-Mageuzi taifa, Bhakome Mugeta, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamaa juzi kwenye blog yake akasema anakwenda Dodoma kwenye vekesheni Leo anapost images alizochukua Dodoma kuonyesha baadhi ya wakereketwa wa CCM wakiunga mkono hotuba ya mheshimwa. guess...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Kuhusiana na habari hii inaonyesha dhahiri kuwa hili linaweza kuwa ni doa kwa umoja wa Waarabu, na pia inawezekana kabisa kuwa kuna mkono wa US ili waweze kuwagawa na kuishambulia Iran kwa urahisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…