Not all of the Bible is true allege the British Cardinals
British Church Newspaper
Times on line
Roman Catholic Cardinal Archbishop Cormac Murphy O'Connor and Cardinal Keith O'Brien...
The famous fishing camp-cum-village of Saadani, barely three hours drive north of Dar es Salaam along the Indian Ocean, will soon go into history books as the growing volume of tourists visiting...
Since the end of slavery and the period during the fight by Africans for independence from colonial rule, Africans had been imbued by a renewed sense of consciousness of their being and blackness...
SEMINA YA ELIMU YA NGONO KWA WATOTO KUANZIA MIAKA MITANO MASULENI (UK)
Shule za msingi hapa zimo mbioni katika kuanza kusomesha somo hili la ubaradhuli kuanzia watoto wa umri wa miaka mine hadi...
Mambo haya yanatokea katika biashara za watu wengi binafsi lakini hili la Peacock Hotels linatisha,Awali wa yote mahusiano ya kingono baina ya mmliki hotel Joseph Mrangila...
Because of recent abductionsin daylight hours, refresh yourself of these things to do in an emergency situation... It never hurts to be careful in this crazy world we live in.
1. The elbow is...
Viboko ilikuwa sehemu ya maisha yangu nilipokuwa shuleni au nyumbani.Adhabu hii wala sikuichukia, ingawa nilipochapwa niliumia.Hata hivyo mara nyingi nilipochapwa iwe shuleni au nyumbani nili...
Hello JF,
I hope some of you were enjoying pay TV services from GTV. Now that the company has been liquidated, the service was terminated. I know some may have already changed the decoders and...
Siku hizi imekuwa fashion maharusi kuzunguka mabarabarani ili kujionyisha kwa umma baada ya harusi kufungwa.
Mizunguko hii inamaana gani lakini?
Mara nyingi husababisha msongamano wa magari...
MIMI NI MMOJAWAPO WA WATANZANIA WANAOPENDA KUONA NCHI YETU INAONGOZWA NA VIONGOZI WAADILIFU KABISA.
LAKINI NASHAURI TUSIWATANIE NA KUWAZOMEA, NA KUWAKEJELI WALE WANAOTUHUMIWA KWA KUTOKUWA NA...
Kwenye magazeti ya leo kumechapishwa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotelewa na MCT kuhusu uandishi usiozingatia maadili wa kutukanana na kuumbuana miongoni mwa baadhi ya vyombo habari...
RAIA MWEMA
Februari 18, 2009
Johnson Mbwambo
NILIPATA kuandika huko nyuma kwamba nchi yetu hivi sasa inapitia kipindi kigumu mno chenye majaribu ya kila aina. Nilisema kwamba ili...
National Assembly Speaker Samuel Sitta yesterday stood by his recent barring of legislators from discussing sensitive issues still being investigated.
The issues include reports that Home...
Wandungu,
Naomba mnisaidie kujua ni vigezo gani vinatumika kujua hii ni serikali ya awamu ya ngapi, au huyu ni Rais wa awamu ya ngapi. Je ni kubadilika kwa Rais, au ni kuingia kwa ngwe nyingine...
Utata huo ulizuka jana maeneo ya Tandale Magharibi, baada ya wanaume wawili mmoja aitwae Abdul na mwingine Salum kugombania maiti ya mwanamke mmoja aitwae Tausi Hassan [36] kila mmoja akidai...
Katika familia zote duniani baba mwenye busara na mama mwenye upendo wanapofariki, vilio huwa vingi na mashaka huzikumba familia. Baba ambaye ni baba tu kwa sababu alioa na kuzaa watoto na mama...
Huyu jamaa alichofanya ni kitendo ambacho kitaonekana ni cha kishujaa. Lakini akili tulizopewa na Mwenyezi za kutambua mazuri na mabaya huenda zimetuzidi. Ni mtu gani mwenye akili timamu anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.