Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

18th December 09 Wanaharakati waunga mkono maazimio ya MNF Mwandishi Wetu Wanaharakati mbalimbali wamesema maazimio yaliyotolewa kwenye kongamano lililoandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We know that NO one is perfect but, Why sometimes its so difficult to say...may be its not always easy to say those things which really matters... ...why its not always easy to say I really love...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Mzungu mwingine ammwagia maji machafu polisi na Ramadhani Siwayombe, Arusha SAKATA la raia wa kigeni kuwadhalilisha Watanzania, sasa linaonekana kushika kasi, baada ya raia mwingine wa Afrika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
http://www.youtube.com/watch?v=dJqvSxFQeK4 Bongo hii inawezekana?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shuleni nilifundishwa kuwa kabla ya kuingia ofisi yeyote unatakiwa ubishe hodi, usubiri uambiwe karibu ndipo uingie ndani. Na ukiambiwa karibu na kuingia, unatakiwa usubiri uambiwe 'karibu ukae...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu utamaduni mzima wa krismasi na jamii yetu ya Tanzania. Ni kwanini tunaisheherekea sikukuu hii ya kuzaliwa kwa bwana yesu kwa mapombe, shopping za kuzima moto kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisoma gageti la Al-Huda lakini naona baadhi ya habari zake ni za uongo - hasa kama zinahusu Ukristo au Kanisa Katoliki. Huwa najiuliza kwa nini mtu mwenye akili timamu akae chini na...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
UMOJA wa Ulaya (EU) umeipatia serikali ya Tanzania kiasi cha euro milioni 383 (sawa na sh bilioni 750) huku ikiionya juu ya ufisadi na utendaji mbovu unaozorotesha sekta ya miundombinu. Kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hi there! I have been trying for 2 days to rechage my TTCL broadband account and it's not opening those links given in portal. There is something like " user info..recharge account....etc" i have...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
WanaJF mwaka mpya ndo huo unakuja wiki mbili zijazo twaingia 2010 Kuna mpango wowote wa kuaga mwaka kwa wanaJF au ndo kila mtu atajifungia kwake?? Nakaribisha maoni
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Tahadhari inaendelea kutolewa juu ya madhara na nini kifanyike kuepuka madhara yake kama zitanyesha.HEBU TUSAIDIANENI KUTOA ELIMU HII KWA WATU WENGI ZAIDI TUSIKAE KUSUBIRI SERIKALI IFANYE KILA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji binti mrembo,msomi na mcheshi awasiliane nami haraka.yupo mmoja tu. Sifa za muoaji:asiwe mbaguzi wa aina yoyote eg dini,kabila etc
0 Reactions
37 Replies
4K Views
A stand V teacher of Mkombo Primary School at Vingunguti in Dar es Salaam teaches mathematics as his pupils sit on the floor due to acute shortage of desks. (Photo: Khalfan Said) Bila kuiondoa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
TANGAZA MGOGORO WA KIKATIBA  Hutuba ya Mhe. Seif Sharif Hamad  Aliyoitowa Uwanja wa Malindi Zanzibar – 11/12/1994 Mheshimiwa Katibu Mkuu, Waheshimiwa Viongozi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hi guys! Could anyone help me with NBC swift code!! Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tarehe kumi mwezi wa tatu mwaka 2009 rais mstaafu ali hassan mwinyi alipigwa kofi akiwa anahutubia baraza la maulid. Aliyempiga akakamatwa na kufunguliwa mashtaka, baadaye ikaja kugundulika kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
*WENGINE WAMTAKA WAZIRI CHIKAWE AACHE KUKURUPUKA Na Sadick Mtulya SIKU moja baada ya Waziri wa Sheria na Katiba Mathias Chikawe kusema Rais Jakaya Kikwete hawezi kutumia mamlaka yake kuwabana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
2009 In Review: We have just come through a really tough year. People have been impacted in numerous ways. Whether you have lost your job or watched those closest to you struggle to find work...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Two Christians were lost in the Sahara desert . One is called George one is called Micheal . They were dying of hunger and thirst when they suddenly came upon an oasis , with what looked like an...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanganyika Law Society,sasa naiita Lawless Society ni institution ya zamani sana toka tupate uhuru.Baadhi ya members wake wametia aibu katika fani hii hasa hapa Tanzania.Imeonekana ni fani ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom