Mrembo Naomi Campbel amshambulia Polisi Heathrow

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,514
19,266
naomi-campbell-pb.jpg

Naomi Campbell mwanadada mrembo inasemekana amewekwa chini ya ulinzi katika kituo cha polisi cha Heathrow nchini Uingereza baada ya kumtolea uvivu askari polisi.


1 hour 24 minutes ago

Supermodel Naomi Campbell has been arrested at Heathrow airport on suspicion of assaulting a police officer

The 37-year-old British model, known for her fiery temper, was cuffed on board a British Airways jet and led off the plane by police.

A Scotland Yard spokesman said: "At 17.11 we were alerted to a disturbance at Terminal 5 where officers attended.

"Subsequently a 37-year-old woman was arrested on suspicion of assaulting a police officer and taken to Heathrow police station."

An airport spokesperson said: "I can confirm that a passenger on board a British Airways flight was removed by police."

Passengers reported that Ms Campbell was aggressive and abusive to staff.

It is thought there was an issue with the model's luggage.


Source: ITN


NB:

Naomi amezaliwa katika kitongoji kiitwacho Streatham kusini mashariki mwa jiji la London, moja ya vitongoji vilivo na watu wenye asili ya Afrika na wa-Afrika wa Caribbean.

naomi-campbell-picture-4.jpg
Naomi

naomi-campbell-picture-1.jpg

Naomi
 
Huyu dada 'ughetto' hauwezi kumtoka!!! Kama kuwa mstaarab angeshajifunza zamani... endless stupid stunts. Daaaaymu!
 
Huyu dada 'ughetto' hauwezi kumtoka!!! Kama kuwa mstaarab angeshajifunza zamani... endless stupid stunts. Daaaaymu!

Ndivo alivyo huyu mtu!!
Hata sioni how fame has helped her.Mara anampiga medi wake
sasa huyu anakamatana na mwera.Funga yeye na tupa ufunguo tusahau!!!
 
I love a feisty woman. I do. Naomi come to daddy.

Wewe wewe Nzoka, mbona umepiga naye picha siku za karibuni tu... au umeshasahau kutokana na pilikapilika nyingi?!! au ni wengi unaowaita waje kwa huyo 'daddy'?!!!

1207121310_papaweb4.jpg


Naona clothing lines zako hazija chacha!!! Zimeenda shule ati!! lol
 
Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali va habari, mrembo huyo alipoingia ndani ya ndege aligundua kwamba moja ya mabegi yake madogo ya mkononi halipo na ndipo kizaazaa kilipoanza.

Wasaidizi wa British Airways walipojaribu kumueleza kwamba atulie na wangetatua tatizo hilo mwanadada huyu ambae mara nyingi hasira zake haziko mbali, alianza kutoa matusi na kupiga mikwara mingi tu ikiwemo ya kutoifanza ndege kuondoka mpaka hapo angepewa begi lake.

Ndipo abiria wengine walipoita polisi na mara polisi walipowasili na kujaribu kutuliza vurumai hilo inadaiwa Naomi aliamua kumtemea mate moja wa polisi hao.

Kosa la kumtemea polisi mate ni kubwa mno kwa huku na ikiwa atapatikana na hatia , mrembo huyo anachungulia kifungo cha miezi sita jela.

Source: ITN
 
Ha ha ndio maana polisi NY hawakumchelewesha wakampeleka kusafisha vyoo....fame nayo ishaanza kuisha....
 
Somebodyneeds to give her stupid ass a serious butt whupin'...I mean a serious one....
 
Wewe wewe Nzoka, mbona umepiga naye picha siku za karibuni tu... au umeshasahau kutokana na pilikapilika nyingi?!! au ni wengi unaowaita waje kwa huyo 'daddy'?!!!

1207121310_papaweb4.jpg


Naona clothing lines zako hazija chacha!!! Zimeenda shule ati!! lol

Mapaparazi noma!! Duuh!
Eniweizi. Hate the game.....we nitakufuma tu na mi-XXXXL yako lol.
 
nzoka jamani mbona sura inaonyesha ushakufa bado mazishi......au ndio maisha magumu....ingia nairobi wakutengeneze sura,,,,dada yangu kakumind kweli mshikaji ulivyotoka
 
Msimhukumu sana huyu dada yetu, ni mpiganaji hodari. Unajua kwenye hiyo field kwa mweusi mpaka kufika hapo ni mapambano hasa.

Naomi huwa hakubali kunyanyaswa na matokeo yake anajikuta kwenye matatizo. Lakini ni katika kundi la watu ambao muda wote wamepigania haki zao kwa nguvu zote.

Ni kwerli pia ana weaknesses zake na kubwa ni hasira. Ana hasira mno na huwa hachelewi kurusha mkono.

Naomi kwasasa hapa UK anapambana na system na muda wote wanataka kumwonyesha yeye kama ameshindikana. Kuna mambo mengi ni kama wanamfuata kupita kiasi. Wanajua ana hasira kwahiyo wanatumia hiyo kutaka kumdhalilisha.
 
Msimhukumu sana huyu dada yetu, ni mpiganaji hodari. Unajua kwenye hiyo field kwa mweusi mpaka kufika hapo ni mapambano hasa.

Naomi huwa hakubali kunyanyaswa na matokeo yake anajikuta kwenye matatizo. Lakini ni katika kundi la watu ambao muda wote wamepigania haki zao kwa nguvu zote.

Ni kwerli pia ana weaknesses zake na kubwa ni hasira. Ana hasira mno na huwa hachelewi kurusha mkono.

Naomi kwasasa hapa UK anapambana na system na muda wote wanataka kumwonyesha yeye kama ameshindikana. Kuna mambo mengi ni kama wanamfuata kupita kiasi. Wanajua ana hasira kwahiyo wanatumia hiyo kutaka kumdhalilisha.

Asante sana. I think other people dont realise what she has gone through and she goes through to put african/black models on the map.
I will not judge her.
Sawasawa na issue ya Dwain Chambers na Amy Winehouse. Dwain Chambers has served his time, na sikubaliani na kubwia kwakwe madawa ili afanikiwe katika riadha. Ila Amy Winehouse, anabwia kila siku hadi rehab....lakini wanavyomprotect, and she selling records like whaat, wakati huyo anaonekana kama role model.
Maaaan. Thats why i say, Naomi can be feisty any time.
 
Leo, 6/4/08

Habari zilizopo ni kwamba Mrembo Naomi huenda akapewa onyo tu na polisi na kuendelea na shughuli zake.

Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari , Naomi ambae aliachiwa huru bila kufunguliwa mashitaka,katika maelezo yake polisi amesema kwamba tukio lote lilitawaliwa na ubaguzi na hivyo kuwa na nguvu kidogo katika utetezi.

Hata hivyo Polisai wamepeleka faili karika idara ya mashtaka (Crown Prosecution Service ) ili kupata ushauri wa ama ashtakiwe au apewe onyo na inaelekea atapewa onyo tu.

Unapopewa onyo na Polisi nchini Uingereza linakuwa limeorodheshwa na mambo mengine kwa ujumla (criminal record) ambayo labda umewahi kukumbana nayo na Polisi na hivyo kufanza faili lako kuzidi kujaa na kukuharibia.

Vyanzo: Mbalimbali
 
Naomi charged over air rage

Published: Today 29th May, 08.

SUPERMODEL Naomi Campbell is facing a possible 18 months in prison today after being charged with assaulting two police officers at Heathrow Airport.

The charges relate to an incident last month when she was removed from a flight bound for Los Angeles following an alleged row over luggage.

Campbell, 38, was charged with six offences when she answered bail at Heathrow police station this morning.

naomi-sean-1a.jpg
Naomi akicheza muziki na rapper Sean Combs kwenye "Brand events" katika ukumbi wa La Dolce Vita kusini magharibi mwa jiji la London.

The model is charged with three counts of assaulting a constable, one count of disorderly conduct likely to cause harassment, alarm or distress, and two counts of using threatening, abusive words or behaviour to cabin crew.

She is alleged to have assaulted two police officers, one of them on two separate occasions, the Crown Prosecution Service said.

Campbell could be jailed for up to six months and/or fined up to £5,000 for each count of assaulting a constable if she is found guilty.

The supermodel arrived at the police station in a chauffeur-driven Mercedes just after 11.30am wearing a pinstriped dark suit and sunglasses.

After spending half an hour inside being informed of the charges she was driven away after refusing to answer any questions from waiting reporters.

Her lawyer Simon Nicholls read a statement on her behalf.

He said: "Miss Campbell is bitterly disappointed that the prosecutors have advised her she is to be prosecuted for various offences

"Prosecutors in this case have decided she needs to be prosecuted in the magistrate's court. She respects that decision and she hopes this matter is dealt with expeditiously."

The model was flying British Airways to the US for a memorial service from the airport's recently opened Terminal 5 - which has been dogged by baggage problems - when she was arrested.

Her spokeswoman said at the time that once on the plane Miss Campbell was told that one of her bags was missing.

It was reported that a row ensued and the supermodel was handcuffed on board and was being removed by police officers when the alleged assault took place.

NB:Naomi leo ametimiza umri wa miaka 38.

Source: ITN, and Various
 
niliona kwenye blog ya sheria diddy alimfukuza hivi karibuni huyo naomi kwenye house party yake cz hakuwa mmoja wa wageni waalikwa!!!
 
niliona kwenye blog ya sheria diddy alimfukuza hivi karibuni huyo naomi kwenye house party yake cz hakuwa mmoja wa wageni waalikwa!!!

Inawezekana.

Naomi hatabiriki kitabia, anaweza kukutupia ngumi wakati wowote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom