Website ya TZUK.net si salama

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
15,340
21,717


Mimi ni mmoja wa watu ambao tumekuwa tukitembelea website hii ambayo mmiliki wake hajulikani katika mtazamo wa kwamba ni mtanzania mwenzetu mwenye nia njema na wale wenye kutembelea website hii.

Katika siku za hivi karibuni nikiwa nafungua web page ya TZuk.net nimekuwa nikipewa taarifa na scanner ya computer yangu kwamba kuna suspisious malware ambayo imewekwa na website hio ama bila ya wao kujua au kujua.

Kwa hiyo nikaamua kufanya upembuzi yakinifu kwa kutumia search engine ya google ili kupata kwamba wanaweza wakanimbia kwamba wasiwasi wangu kuhusu website hii ni kweli.

Ifuatayo ni diagnosis ya google kuhusu website hii ya TZuk.net

Safe Browsing
Diagnostic page for tzuk.net/

What is the current listing status for tzuk.net/?

Site is listed as suspicious - visiting this web site may harm your computer.

Part of this site was listed for suspicious activity 4 time(s) over the past 90 days.

What happened when Google visited this site?

Of the 632 pages we tested on the site over the past 90 days, 140 page(s) resulted in malicious software being downloaded and installed without user consent. The last time Google visited this site was on 05/21/2008, and the last time suspicious content was found on this site was on 05/21/2008.

Malicious software includes 41 trojan(s), 6 worm(s). Successful infection resulted in an average of 13 new processes on the target machine.

Malicious software is hosted on 6 domain(s), including awasr.cn, 59.60.154.0, 183858.com.

1 domain(s) appear to be functioning as intermediaries for distributing malware to visitors of this site, including see-all-that-here17904.blogspot.com.

Has this site acted as an intermediary resulting in further distribution of malware?

Over the past 90 days, tzuk.net/ did not appear to function as an intermediary for the infection of any sites.

Has this site hosted malware?

No, this site has not hosted malicious software over the past 90 days.

How did this happen?

In some cases, third parties can add malicious code to legitimate sites, which would cause us to show the warning message.

Kwa hio ningependa kutoa wazo kwa wamiliki wa TZUk ambao wengine watakuwa ni wanachama hapa kujaribu kuona kwamba hili ni tatizo interms of their reputation.

Kwa hio wale wanaopenda kutembelea website hio ni budi kujihadhari nayo kwa kipindi hiki.

Ahsanteni.
 


Mimi ni mmoja wa watu ambao tumekuwa tukitembelea website hii ambayo mmiliki wake hajulikani katika mtazamo wa kwamba ni mtanzania mwenzetu mwenye nia njema na wale wenye kutembelea website hii.


Whois Record

Registrant:
Attn: tzuk.net
C/o BlueHost.Com Domain Privacy 1548 N Technology Way, #D13 Whois Server: whois.bluehost.c
om Orem, Utah 84097 Last modified: 2007-01-11 17:54:31 GMT
,
United States

Domain Name: TZUK.NET
Created on: 03-Nov-04
Expires on: 03-Nov-10
Last Updated on: 14-Mar-08

Administrative Contact:
, afaraji@hotmail.com
TZUK
Abubakar Faraji Unit 6 Tudorleaf business Centre 2-8 Fountayne Road London, Alabama N15
4Q
L United Kingdom Fax..: +44.02088019484 Last modified: 2008-03-13 00:00:20 GMT
,

+44.7949824969

Technical Contact:
tzuk.net, Attn:
C/o BlueHost.Com Domain Privacy 1548 N Technology Way, #D13 Whois Server:
whois.bluehost.c
om Orem, Utah 84097 Last modified: 2007-01-11 17:54:31 GMT
,
United States
+1.8017659400 Fax -- Fax..: +1.8017651992

Domain servers in listed order:
NS53.DOMAINCONTROL.COM
NS54.DOMAINCONTROL.COM


SOURCE
 
Kama inamatatizo hayo achana nayo pia umefanya jambo jema kutufahamisha ili nasi ntusiweze kuingia huko thanx
 
Napenda kutoa maoni yangu kwa wamiliki wa TZUK ambao pengine ni wanachama humu JF wajaribu kuangalia hilo.

Hii ni muhimu sana.

Kuhusu Malware-

Malware is a type of software that attempts to steal your personal information or use your computer to do things that you do not intend. Malware pages are web pages containing malicious code that could be downloaded and installed on your computer without your consent.

Hii itanifanya niwe na wasiwasi kwamba TZUK inatumiwa.
 
Back
Top Bottom