Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 133
Nilipokuwa mdogo kuna maneno au misemo ya Kiswahili nilikuwa naisikia na kuitumia sana bila ya kujua kuwa ni ya kingereza
Kwa sababu inglishi haikuwa richabo, sikuweza kungamua kuwa yale maneno yalikuwa ni ya king'eng'e ambayo yamegeuzwa kuwa ya Kiswahili.
Mfano .
....Bibi yangu alikuwa anapenda kutumia neno "Bilalifulu akiwa amekasirika. Ilinichukua miaka kadhaa kuja kugundua kuwa kumbe neno lenyewe ni tusi la kiinglishi Bloody Fool
...Neno kuteta . Kwenye sentensi njoo TUTETE kidogo. Je mnajua kuwa hili neno linatokana na neno la kiinglishi Tete a tete....meaning one to one conversation
Je ni neno au msemo gani unaukumbuka ambao ulikuja kugundua baadaye kuwa ni wa kiinglishi?