SULIVAN SUMMIT WANACHANGIWA . kWA NINI?

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Kamati ya Sulivan inayoandaa mkutano huo Arusha wanakusanya fedha na michango mingine toka Tz.

Vodacom , CRDB, Bonite , etc wametoa michango mingi tuu kwa hao Wamerika. Serikali yenyewe inagharimia mkutano wote kuanzia kumbi , maofisi nk. je Wana faida kwa Watanzania kweli? Nilidhani mfuko wao ndio ungegharimia mkutano huo .Kama ni sisi wenyewe naanza kupata kigugumizi.Labda wenzetu mtusadie hili maana navyoelewa mimi ,waandaji ndio hugharimia mkutano na sio kuomba michango.
 
Back
Top Bottom