Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimejaribu kutafakari matukio ya ujambazi yanayotokea kila kukicha na kujiuliza hivi kweli tanzania kuna amani au ni wanasiasa wetu wamezoea kutumia huo msemo kuzidi kujipatia kila wanachotaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
popote utakapowaona watu hawa tafadhali wajulishe wahusika kwa manufaa ya umma
0 Reactions
1 Replies
1K Views
I really 102.6fm with all its programs sema one thing bothers me alot hivi kwa nini 102.6fm kila ashubui kipindi cha baby kabae analalamika mtandao uko slow eti hawezi pata news.satellite ipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeambiwa hizi saluni za gharama za kuwarembesha hakina mama nasikia ndo akina mama wengi wenye busara zao hukutana na mabwana zao kwakuogopa umbea wa magazeti ya udaku!!hivyo ukienda huko...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nimesikiliza kwenye summary ya magazeti RFA asubuhi hii, kuwa yule Mtabiri na Mnajimu, aka "mzee wa ulinzi wa majini" amebashiri kwamba Mgombea mmoja machachari sana anayepania...
0 Reactions
135 Replies
13K Views
This story could go into the "San Diego's Dumbest Criminals" file. A Lakeside man goes to visit his son in a Colorado prison and ends up behind bars himself on suspicion of smuggling drugs...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibuni baadhi ya wanahabari ikiwemo gazeti makini la Raia Mwema walitutaja sisi wana JF kama wanamtandao ambao tumempa Dk Slaa kura nyingi za Urais. Je wana JF tutawezaje kuifanya JF kuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana helikopta ya mkulu iligonga mti huko shinyanga. Mwenye nyeti zaidi atumwagie.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna familia moja ambayo mama ndiye anayejua watoto wale nini,wasome wapi, wavae nini na waishi wapi kwa maana ya kwamba hadi pango mama ndio anayelipia kodi. Mume hana habari na hivyo vitu, yeye...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nina blakbery storm 9530 lakini sina usb cable yake na ningependa nijue ni duka gani hapa mijini dar es salaam naweza kupata. Natanguliza shukran
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia hawa wauza magari ni wazugaji tu. wanafanya biashara nyingine tofauti kabisa zenye mitandao Brazil na Pakistan. Magari wanayatumia kama geresha tu. Kuna show room moja wanauza magari...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau najua ndani ya JF kuna kila kitu chenye kuhitajika,Leo naomba kwenu phone or physical adress za watu hawa; 1.Bon Mwaitege 2. Christina Shusho 3.Rose Mhando 4.Manka Mushi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimekopa sh. 200 kutoka tigo. cha ajabu wameniambia salio la account yangu halitoshelezi kupiga simu, na wakati huohuo nikiangalia salio kuna jumbe usemao SALIO LAKO ULILOKOPA KUPITIA TIGO...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanza. Tanzania has been able to reduce the use of Cloroflourocarbons (CFC) chemicals which affect the Ozone layer by 86 percent from 254 tonnes in 1999 to 35.8 in 2009. Speaking during the...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwanafunzi kizimbani kwa tuhuma za kutupa kichanga Send to a friend Wednesday, 29 September 2010 09:17 0diggsdigg Joseph Lyimo, Mbulu JESHI la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mwanafunzi wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi wetu tulionunua Magazeti ya jana tar.13/04/10,tulishtushwa na picha ya Rais wetu JK akiwa MOI akimwangalia majeruhi ambaye anaonyesha amejeruhiwa vibaya,tena baadhi ya magazeti yalikuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mbwa wa Iringa wapoteza urafiki Send to a friend FRM MWANANCHIWednesday, 29 September 2010 09:41 0diggsdigg Tumaini Msowoya, Iringa ZAIDI ya watu 250 wamejeruhiwa kwa kuumwa na mbwa kati ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nauza simu (sonyericsson c905) used kwa Tsh 250,000. kwa mawasiliano +255777152223. au e-mail ishaq_07@hotmail.com Jina Is-haq Habib Ali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau najua mmeishaiona hii. Hivi haya mauaji ni ya kijambazi kweli au kuna kitu kinaendelea kwenye system huko. Maskini, Kavenuke!. Mhadhiri Chuo Kikuu auawa na majambazi Monday, 27...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
“Therefore I remind you to stir up the gift of God which is in you...” (2 Timothy 1:6,) Do you need some freshness in your life today? You may simply need to stir up what God has placed on the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…