Habari za Chini Ya Uvungu...Show room za magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Habari za Chini Ya Uvungu...Show room za magari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 29, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,231
  Trophy Points: 280
  Nasikia hawa wauza magari ni wazugaji tu.
  wanafanya biashara nyingine tofauti kabisa zenye mitandao Brazil na Pakistan.
  Magari wanayatumia kama geresha tu.
  Kuna show room moja wanauza magari bei kubwa sana, yaani Duet model ya mwaka 1999 inauzwa 10.m, hii nasikia ni moja ya mbinu yao ya kudiscourage wanunuzi ili waendelee kujificha chini ya kivuli cha uuzaji magari huku wakiwa wanauza PODA
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  HII BIASHARA IPO WAZI KABISA NA lNAJULIKANA.
  WAUZA MAGARI NDO WANAOICHANGIA CCM KWA HELA ZAO ZA UNGA
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mh hii kali na ni nyingi sku hizi kama bar , kinondoni kila baada ya nyumba moja hiyoo!
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Sasa wasipofanya hivi ccm itapata wapi hela ya kampeni?
  Wanajua sana kinacho endelea, ila wamebaki kufumba macho.
  Morocco commission agent ameiibia benki ya nbc mabilioni ya hela kwa kuwa wakala wa kukepesha magari kwa wateja.
  Daladala aina ya hiace alikuwa anaiuza hadi milioni siti, hiace ambayo ni used na haina viti ndani. Benki ikawa inampa tu hela
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ya kweli hayo mkuu?
   
 6. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wewe unaushahidi na hayo maneno yenye red hapo,hi kwa nini mnakichkia hiki chama namna hiyo jamani?lkn kumbukeni tulikotoka.
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Tulikotoka ni kuzuri kuliko tulipo!
   
 8. A

  Akiri JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  We ndiyo unajua leo kaka. njoo kino nikupe data. kwanza hata wateja wanaokuja kununua hayo magari huwaoni lakini kila siku yanafunguliwa ma show room . wengi hayo magari ya kuzugia tu. nyuma ya pazia la gari kuna biashara 2
   
Loading...