Helikopta ya Kikwete yagonga mti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helikopta ya Kikwete yagonga mti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Sep 29, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Jana helikopta ya mkulu iligonga mti huko shinyanga.
  Mwenye nyeti zaidi atumwagie.
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Au ndiyo mambo ya utabiri wa mlinzi mkuu wa muungwana!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,256
  Likes Received: 21,956
  Trophy Points: 280
  Naona hii helikopta haikukatiwa bima kwa Sheikh Yahya Jemedari Mkuuu wa Majeshi yasiyo onekana ya kumlinda KIKWETE
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  ha ha ha, ulinzi hafifu huo, sheikh tuma majini mengine yaliyosomea Urusi na Marekani kuongeza nguvu.
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mwenye data atumwagie hapa
   
 6. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kampeni za huyu baba zinaandamwa na mikosi na misukosuko hadi inatisha.
   
 7. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Fuuul nux
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Hakuna liyekufa au kujeruhiwa
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mungu saidia!
   
 10. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wamechakachua Hadi mafuta ya ndege na Helikopta unadhani itaacha kwenda upande.
   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 12. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  au ndo hii ajali aliyoiona shekhe husein baba wa yahaya?
   
 13. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Vasco alikuwepo ndani yake?
   
 14. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hili swala jamani tuliangalie kwa jicho la kidadisi sana, usije ukashangaa kwamba hii imefanyika makusudi ili kutuzoeza kwamba helkopta huwa zinapatapata ajali, then wakaifanyia helkopta ya mgombea wangu wa urais, ili wao wapite kirahisi zaidi maana wabongo kwa fitina hawajambo any way mungu tusaidie tumalize hii fitina ya kuiba wake za watu kwanza.
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,502
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mtakatwa hela za kodi kununua Helcopiter za watu hadi mkome.

  Nyie chekeni tu na kufurahi. Mwenye nayo atadai mpyaaaa.....
   
 16. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Hivi Kikwete ana wake wangapi?
   
 17. Z

  Zero One Two JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 16, 2007
  Messages: 9,390
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kikwete naye ana Mungu wake hakuna baya litakalomfika. Tutakereka sana lakini tutafika. Hakuna cha nuksi wala balaa
   
 18. t

  truth Member

  #18
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye nyeti nani tena!!? wewe si ndiyo mwenye habari!
   
 19. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Du na wewe umeibuka, oh sorry the truth alikuwa anajifanya hajui kiswahili!!!!
   
 20. A

  Akiri JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na Ezan hili tuliangalie kwa jicho la tatu. vijana wa usalama wa Taifa wamesambazwa kufanya linalo wezekana ili ccm ishinde. sasa wasije kuwa wanatutenga ili tuzoee kwamba hizi helicopter zinapata ajari mara kwa mara then wakamkorimba Dr. kweli haya matukio ya kuyangalie kwa jicho la tatu
   
Loading...