Sheikh Yahya: Aidha Kikwete au Slaa kufa kabla ya Oktoba 31! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Yahya: Aidha Kikwete au Slaa kufa kabla ya Oktoba 31!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PakaJimmy, Sep 29, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wanajamvi,

  Nimesikiliza kwenye summary ya magazeti RFA asubuhi hii, kuwa yule Mtabiri na Mnajimu, aka "mzee wa ulinzi wa majini" amebashiri kwamba Mgombea mmoja machachari sana anayepania kuingia Ikulu katika uchaguzi huu, ATAKUMBWA NA MATATIZO MAKUBWA SANA!, lakini hajaeleza matatizo hayo kuwa yatakuwa ni ya aina gani!

  Mnasemaje kuhusu bashiri za huyu mganga?...kuna haja ya kuzipa umakini bashiri zake?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ofcourse kama alivyotwambia in 2005 kwamba raisi ajaye atakuwa mwanamke na kweli ikatokea!!!!!!!
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Sina mbavu jamani eeeeeeh1
   
 4. M

  Masauni JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ni muongo tu anataka kutisha watu. Si unakumbuka mwaka 2000 akijua mkapa atashinda uchaguzi eti akatabiri rais anayekuja ana kakipara na anavaa miwani.
   
 5. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Atakula wapi akiacha hiyo ajira yake ya kutabiri uwongo?
   
 6. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahahhah.....
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  PJ,

  Sheikh Yahya anatangaza biashara bila kulipia aisee, sijui kwanini waandishi wa habari bado wanampa nafasi.... kwakweli sijui kwanini waandhishi na vyombo vya habari vinapromote uchawi, ushirikina na unajimu

  Inatia kinyaa
   
 8. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Kujipa umaarifu tu!!
   
 9. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mimi wala siamini huu utabiri lakini najua kuwa Mungu daima anawachukia watu wenye kuvunja heshima za watu hata kuliko mafisadi na waizi.

  Kwa kupora mke wa watu Dkt Slaa iwapo watanzania watafanya kichwa ngumu na kumpa kura zao basi uwezekano wa mabalaa kuikumba Tanzania ni mkubwa sana.

  Usishangae hata siku ya kuapishwa kwake kukaambatana na kimbunga.

  Mkapa kulikuwa na nia mbaya katika kuingizwa kwake katika urais. Angalia utawala wake ulishuhudia mabalaa yasiyo kawaida hapa Tanzania. Kwa Slaa hali itakuwa vurugu tupu.

  Ni afadhali hayo matatizo yamkumbe sasa wakati wa kampeni ili tuokoke huko mbele.
   
 10. Fisherscom

  Fisherscom JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 180
  Nitamuamini iwapo uchaguzi hautofanyika mwaka huu na mgombea mmojawapo kufariki maana ktk moja ya tabiri zake alitabiri hivyo. Iwapo hayo yatatokea tutazipa uzito najimu zake.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hivi maana ya kupora ninini?...labda mwenye kamusi ya kiswahili online atuwekee ili kusaidia wengi wetu tunaotumia maneno bila kujua maana yake!

  Lakini pia kwanini broda umeenda moja kwa moja kwa DrSlaa, una maana yeye ndiye analengwa?
   
 12. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2010
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  avatar yako ina harufu ya udini
   
 13. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #13
  Sep 29, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK wetu kuitwa mwanamke, mmmmmh!
   
 14. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 520
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwani raisi wa tanzania ni mwanaume?? Ndege na magari ya serekali nani anatumia, JK au Mrs JK?
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Una maana Kikwete?
   
 16. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nimesoma posts za wengi humu tumeishia kulaumu, kukosoa na kupuuzia hii ishu.
  Kumbukeni sheikh yahaya anafanya kazi kama mshauri maalum pale IKULU ndo maana hata Salva hakukanusha fabrications zake kuhusu JK kupewa chapuo na kukubalika na kuhwa atakayegombea naye atakufa. Mimi ninaona kitu kingine ktk hii inayoitwa tabiri yake. Ametumwa kuwaandaa kisaikolojia watu kuhusu matokeo ya mpango unaopangwa dhidi ya huyo mgombea. Mimi nahisi SERIKALI ina mpango mbaya dhidi ya mtu ambaye watanzania wanaona ni chaguo lao. CCM na majambazi wake wana zawadi ndani ya box ambayo siku za karibuni wakiifungua patakuwa hapakaliki.

  Ingekuwa uwezo wangu, huyu babu yahaya angelikuwa amefungwa bakuli lake na kutulizwa mpaka uchaguzi uishe. kumbukeni CCM watafanya lolote lile ilhali kubakia madarakani. Wapo tayari hata kuua watanzania ili watanzania wawakubali na kuwapa dhamana.
   
 17. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hujasikia vizuri; kasema kuwa mgombea uraisi mmojawapo kati ya chadema au ccm lazime afe kabla ya uchaguzi mkuu mwaka huu. huyu mzee jamani!
   
 18. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Prophet of Doom
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Uchuro at the peak resonance!
   
 20. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Maneno ya huyu commedian huwa hayanitishi na wala hayaniingi akilini mwangu siku zote
   
Loading...