Problem wit 102.6 fm

cream.b

Member
Apr 17, 2010
72
2
I really 102.6fm with all its programs sema one thing bothers me alot
hivi kwa nini 102.6fm kila ashubui kipindi cha baby kabae analalamika mtandao uko slow eti hawezi pata news.satellite ipo slow nini dar bado wanatumia hiyo instead ya fiber ya seacom or essaye.
 
As far as I know most of these radio station wanapata service ya internet bure kutoka kwa some of the providers kwa makubaliano ya kuwafanyia matangazo bure sasa what the providers do wana walimit kwenye badwidth kusudi wasiweze kufanya mambo mengi other than browsing tu
 
Back
Top Bottom