According to CNN so far 5 miners have been rescued and will be hospitalised for a while.
MY TAKE
See how caring Chile govt is to its Citizen was it to be in Tanzania we would have forgotten these...
KWeli WAPO wachache sn watu wa aina hii.
Kweli TZ tunao watu wachache ambao hawako tayari kuuona uozo na ugonjwa wa ufida unaendelea hawa wanaafaa mifano bora katika jamii...
Ukifika unaweza hisi magari yamepangana kwenye msururu wa kwenda kumuaga mwalimu nyererela hasha kumbe yamesimamishwa na matraffic wapatao6 wawili wakiwa na jesi za brown na wa4 nyeupe wakiwa...
EU walaani tamko la vyombo vya usalama
TAMKO la mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo bado linakosolewa baada ya waangalizi wa uchaguzi mkuu kutoka...
Ajitokeza Uchi Mbele ya Obama, Ashinda Dola Milioni 1
Juan James Rodriguez alipotiwa mbaroni na polisi baada ya kujitokeza mbele ya rais Obama akiwa uchi wa mnyamaWednesday, October 13, 2010 3:54...
Katika hali isiyo ya kawaida Channel ten leo jioni imepitisha kwenye habari zake tukio la JK akisakata ngoma ya "Kiduku" ya huko kusini na kuonekana habari hiyo imefunika hoja zozote zile za...
11 October 2010
' Mwenyekiti' wenu naandamwa na maneno kule Jamii Forums ( JF). Nimeishi Iringa na Wahehe kwa miaka sita sasa. Mkisikia nimechukua kamba na kujinyonga, basi, ni JF...
Mwananchi wewe unajisikiaje pale nchi yako inakosa eneo maalumu kwa ajili ya Viongozi!!
Kwa sababu ya ufisadi na tamaa zao kuuza nyumba za serikali ambazo baba zetu waliziheshimu kwa miongo kadhaa...
Oct 11, 2010
Drama ensued in Arusha, Tanzania, last week when the wife of the owner of several hotels reportedly disappeared with wads of cash taken from one of her husbands businesses...
Habari wana jamiiforum,
Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
Wana Jf,
Nilipata kisafari cha kikazi nje ya nchi kwa wiki tatu hivi, nimerudi juzi so weekend hii nikawa kijiweni kwetu nikawa nachat na rafiki yangu anayefanya kazi serikalini ambaye ngazi...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu watano, huku wanne wakidaiwa kutoa rushwa ya Sh680,000 baada ya kukamatwa wakiwa na dawa za kulevya aina ya mirungi inayodaiwa kuingizwa kutoka...
A Chinese man pulled a car for more than five metres using just his eyelids.
The man pulled a car using just his eyelids(Guangzhou Daily)
Yang Guanghe spent more than a decade mastering...
Wanawake Watatu Wambaka Mwanaume Zimbabwe
Sunday, October 10, 2010 4:35 AM
Wanawake watatu wanatafutwa na polisi nchini Zimbabwe baada ya kumteka mwanaume na kisha kumbaka kabla ya kumtelekeza...
Yafaa Mfungwa mmoja awe huru kwa ajili ya kuunga mkono Kampeni za Dr Slaa,
kwani zimekuwa kampeni za kuwafungua watu masikio,
pia Rev Masanilo ni mtu muhimu sana katika jamii ya jf, kwani sasa...
Rescuers say they could be just hours away from completing an escape tunnel for 33 miners trapped in a Chilean mine, but they will not be rescued until next week...
More news read here
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.