Saluni za kina mama

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Nimeambiwa hizi saluni za gharama za kuwarembesha hakina mama nasikia ndo akina mama wengi wenye busara zao hukutana na mabwana zao kwakuogopa umbea wa magazeti ya udaku!!hivyo ukienda huko ukakuta Unisex ujue watu huko kuna chumba!Private room!!
Na wazito ndo maeneo yao!!kwahiyo mkeo akikwambia anaenda saluni jaribu kufahamu wasfu wa saluni!!:eek2:
 
Ni kweli na siyo lazima chumbani,wewe ukiagwa naenda salon ya mbali na hapo ulipo ukifuatilia utamkuta kweli maeneo hayo ya salon ila atakuwa ndani ya gari anakula stori na mtu wake ndani ya gari tena yenye tinted, kazi tunayo kwa tulio ndani ya ndoa
 
Ukiwa na hofu na mkeo chunguza kisha ondoa hofu yako, la sivyo hofu itapelekea kuishi maisha ya hofu, mafarakano na mashaka. Mapenzi na uaminifu hayadumishwi kwa kumzuia mkeo kwenda sehemu au kumfuatafuata kila pahali, mapenzi yanadumishwa kwa mapenzi na kuaminiana.
 
Ukiwa na hofu na mkeo chunguza kisha ondoa hofu yako, la sivyo hofu itapelekea kuishi maisha ya hofu, mafarakano mashaka. Mapenzi na uaminifu hayadumishwi kwa kumzuia mkeo kwenda sehemu au kumfuatafuata kila pahali, mapenzi yanadumishwa kwa mapenzi na kuaminiana.
umenena.......nidai pepsi pleeeeeeeeeeees!!!!!!!!
 
MI bora ni kae kimya tu

Musihofu. Utandawazi una mengi sana. Hiyo ni rasharasha mvua yenyewe bado. Wanaume mpooooo!!!!!!!!!!!!!! Kama hivyo ndivyo subiri kauli kama ..Na wewe unasema mbele ya wanaume..... wewe si Mpangaji/mgeni tu ...... Mwanamme suruali......... Mie nimechoka .....nk.nk.nk.nk. Omba Mungu hali hiyo isikukute. Mungu apishie mbali.:confused2:
 
kweli kazi ipo, vinginevyo bora uoe bubu asiyejua kusema kidogo kuna kazi, ila wanawake wasemaji kweli ni balaa tupu.
 
Kuna kanisa moja nilibahatika kusali siku za nyuma.
Lilikuwa na saluni ya kike na ya kiume, waumini wote walikuwa wananyolewa nywele na kina mama walikuwa wanatengenezwa nywele hapohapo kanisani.
Infidelity ilikuwa haina nafasi
nimeambiwa hizi saluni za gharama za kuwarembesha hakina mama nasikia ndo akina mama wengi wenye busara zao hukutana na mabwana zao kwakuogopa umbea wa magazeti ya udaku!!hivyo ukienda huko ukakuta unisex ujue watu huko kuna chumba!private room!!
Na wazito ndo maeneo yao!!kwahiyo mkeo akikwambia anaenda saluni jaribu kufahamu wasfu wa saluni!!:eek2:
 
Ukiwa na hofu na mkeo chunguza kisha ondoa hofu yako, la sivyo hofu itapelekea kuishi maisha ya hofu, mafarakano na mashaka. Mapenzi na uaminifu hayadumishwi kwa kumzuia mkeo kwenda sehemu au kumfuatafuata kila pahali, mapenzi yanadumishwa kwa mapenzi na kuaminiana.
well said Amoeba,ni muhimu sana kny mahusiano na ni vema kuzingatia pande zote si kwa wanawake tu even men.
 
well said Amoeba,ni muhimu sana kny mahusiano na ni vema kuzingatia pande zote si kwa wanawake tu even men.

Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, na mara nyingi sisi wanaume huwa tunaona kama haki yetu vile kuwa na mwanamke au wanawake wa pembeni! Hii kitu si ya kuintertain hata kidogo, inaharibu mahusiano-wanawake wengine akijua tu kuwa unacheat analipa kisasi,...very deadly.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom