Nitapa wapi usb cable ya blackbery hapa dar es salaam

Nitapa wapi usb cable ya blackbery hapa dar es salaam

Nyikanavome

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Posts
487
Reaction score
181
Nina blakbery storm 9530 lakini sina usb cable yake na ningependa nijue ni duka gani hapa mijini dar es salaam naweza kupata.
Natanguliza shukran
 
kunaduka pale magomeni mikumi nakumbuka siku za nyuma wakati nipo dar niliwah kumuelekeza kyera boy jf mwenzetu akapata. Ukishuka daladala pale magomeni mikumi kuna fundi simu edo. Jirani kuna duka la vifaa vya simu na simu. Go there.
 
Ahsante ThinkPad

nitaenda kuangalia kama nitapata; nitatoa feedback
 
Back
Top Bottom