Huduma ya internet Tz

clara

New Member
Oct 4, 2010
3
1
Habari wana jamiiforum,

Mie napenda kuuliza hivi ni kampuni gani ya cm inayotoa huduma ya bei ya chini ya internet mimi natumia zantel ila ni ghali sana ukilinganisha na hali ya mtanzania wa kawaida
 
Back
Top Bottom