Salenderbridge;traffic wanaomba rushwa hadi buku jamani!!tutafika kweli

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Ukifika unaweza hisi magari yamepangana kwenye msururu wa kwenda kumuaga mwalimu nyererela hasha kumbe yamesimamishwa na matraffic wapatao6 wawili wakiwa na jesi za brown na wa4 nyeupe wakiwa wamepaki na pikipiki pembeni ambayo aina namba aata moja....
Wapendwa hizi rushwa zitaisha lini jamani..wamesimamisha magari kama njugu binafsi nilisubiri nikaamua kugeuka na kupasua njia ya diamond jubilee..aiwezekani traffic anakusimamisha alafu anaenda kuufwata gari kama ya sita mbele yako na wewe ukimsubiri huu ni upuzzi afande mkuu wa matraffic embu angalia hili swala jamani kwa nini salender wanaichafua hivi..alafu unakuta hata afya zao ni tete .....

Hivi moja ya kigezo cha utraffic ni lazima uombe rushwa nini??nasema hivi kuna vijana wamepewa utraffic rasmi majuzi jamani yaani kama walikuwa jela wanasimamisha mpaka watu huko makumbusho sijui wanaomba nini??
Kama ni mishahara si muwarekebishie kwa nini tuteseke wengine kwa ajili yenu jamani....

Kwa alie karibu na huyu mkuu watraffic naomba wamjulishe kwa hili watu wamechoka kabisa yaani unakuta traffic aanachunguza mpaka basi akikosa anaema jamani hata buku...loh burian traffic wangu
 
Na hii pikipiki iliopaki bila namba ni sheria ipi inaifanya itembee ????ama ndio kuficha uhalifu maana nimejaribu kuangalia traffic alienikamata katoa namba wanazobandikwa kifuani..kazi ipo hili jeshi loh
 
Wakale wapi na mshahara wa 200000 mbaya zaidi ana gari,anasomesha
 
Na hii pikipiki iliopaki bila namba ni sheria ipi inaifanya itembee ????ama ndio kuficha uhalifu maana nimejaribu kuangalia traffic alienikamata katoa namba wanazobandikwa kifuani..kazi ipo hili jeshi loh

PIga picha hiyo pikipiki uilete hapa
 
Wakale wapi na mshahara wa 200000 mbaya zaidi ana gari,anasomesha

nilicchowapenda sikuhizi wameona isiwe taabu karibu kila traffic aananua gari wanaweka tinted mkamalizane huk isiwe taabu ......
 
Back
Top Bottom