Wife of Tanzania hotel owner disappears with cash | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wife of Tanzania hotel owner disappears with cash

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Invisible, Oct 11, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Oct 11, 2010

  Drama ensued in Arusha, Tanzania, last week when the wife of the owner of several hotels reportedly disappeared with wads of cash taken from one of her husband’s businesses. Allegedly, she also beat up some female staff whom she suspected to have had affairs with her life partner.

  The venue of the drama was at the Impala Hotel in the center of Arusha, from where allegedly over 100 million Tanzania Shillings (US$67,636) disappeared in local and foreign currency.

  While the police was looking for the combative lady, her husband played down the incident, calling it a misunderstanding.

  Mr. Mrema owns such well-known properties as the Impala Hotel, the Ngurdoto Mountain Lodge enroute between Arusha and the international airport, and also the Naura Springs Hotel, besides being in real estate developments.

  Meanwhile, no word has been received if the wife has been nabbed or the money recovered, leaving the husband with injured pride and short of cash.
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  kweli maisha yana tofauti, huku uswazi mwanamama anakimbia nyumba na mfuko wa rambo wenye vikanga viwili vitatu, kwa wengine mwana mama anaondoka na "Visenti"
   
 3. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Invisible uwe unacheki cheki basi kabla hujaanzisha mada. Hii mada ilikuwepo weeks kadhaa zilizopita.
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 418,988
  Trophy Points: 280
  You can talk of poetic justice here, and nothing less.
   
 5. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Jamani, hakuna anayejua namba ya huyo mamaa nimpigia aje kujificha kwangu...??:A S wink:
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwenye pesa kuna matata sana wandugu..msidanganyike.
   
 7. g

  grandpa Senior Member

  #7
  Oct 11, 2010
  Joined: Aug 24, 2008
  Messages: 185
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona dada mwenyewe keshajitokeza mjini na hakuna anayemtafuta!
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,572
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Baba Desi, baada ya kufanya hii soo, bado anaweka numba ile ile?. Ukimcheki Mrema, jamaa looks like mafia fulani, japo hiyo milioni 100 ni vijisenti tuu vya hesabu ya Ipala kwa siku moja, jamaa akimpata huyu mama, atafanyakitu mbaya! ndio maana amekauka kama hakuna issue!.
  Kusema kweli Impala ndio hoteli niipendayo nikiwa A-Taun ni wenye macho wote huona maua mazuri, macho yaliona na taarifa za kila ua zuri ni la boss, niliishia ...kwa macho tuu!, boss anajua kuchagua! wahudumu wa resturant wakati wa breakfast ndio usiseme, kumbe ndio huingia night shift!, yaani hapo Ipala, wee acha tuu.
   
 9. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Huu ni ugomvi ndani ya ndoa. Kama alivyosema mwenye mke sio issue kubwa kwetu wengine.
   
Loading...