Channel Ten leo yamuenzi JK kwa kusakata vyema "Kiduku"

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,463
911,172
Katika hali isiyo ya kawaida Channel ten leo jioni imepitisha kwenye habari zake tukio la JK akisakata ngoma ya "Kiduku" ya huko kusini na kuonekana habari hiyo imefunika hoja zozote zile za kimsingi ambazo JK pengine alikuwa nazo za kulijenga taifa hili kisera.

Yaeleka sasa kwa vile sera hazijulikani au hazikubaliki basi bora liende tu kwa mtindo wa burudani na kuonekana mheshimiwa huyu kweli ni "mwenzetu"

Lakini ni mwenzetu kweli?
 
Sasa yeye badala ya kueleza sera yeye anacheza? Anyway ni tension imembana sana mwacheni ale starehe!
 
......angejua asili ya style ya kiduku, asingeicheza!!! may be anaijua na yeye ni mfuasi wa wabunifu wa hiyo ngoma!
 
Back
Top Bottom