WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Mathias Chikawe ameishukia Sekretarieti ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, akidai imeshindwa kutumia mamlaka iliyonayo kuwabana vigogo wa...
Kutokana na hali ya mambo ilivyo hapa nchini na haja ya kuongeza kasi yetu ya maendeleo kwa wananchi wa nchi hii, napendekeza tuyakabidhi Majeshi yetu, chini ya uongozi wa JWTZ, majukumu...
Ndugu zangu tangu zamani nilikuwa na ndoto ya kuanzisha kituo cha redio kwa ajili ya vijana wenzangu ili waweze kusikika, naona sasa ni muda muafaka wa kufanya hii kitu.
Naombeni mtu yeyote mwenye...
ARUSHA PRESS CLUB (APC)
P.O BOX 6011
ARUSHA, TANZANIA
TEL; 0713-231752 / 0754-299861
Email;arushapressclub@gmail.com
TAMKO LA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA ARUSHA...
Hali ya Vifaa katika Hospitali yetu ya Muhimbili inasikitisha sana na ninachelea kukubali kuwa inastahili kuitwa Hospitali ya Taifa. Hivi inaingia akilini kweli kwa Hospitali ya Muhimbili kuwa na...
Mkurugenzi akanusha vigogo kupewa viwanja Arusha
Imeandikwa na John Mhala, Arusha;
Tarehe: 3rd December 2010
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Arusha, Wilayani Arumeru, Halifa Hida, ametoa...
MAALIM SEIF: Uchaguzi wa Zanzibar ulikua safi hauna GHILBA
Ndio huu ndio ukweli usionashaka kwa Watanzania kuambiwa ukweli na kuacha zile zama za Kina Chadema kukataa Ukweli hali ya kuwa...
Taarifa za hivi karibuni zilizochapishwa na mtandao wa Wikileaks, zinamnukuu mwendesha mashataka mmoja kutoka Uhispania akisema kuwa serikali ya Urusi inaendeshwa na genge la mafia.
Jaji Jose...
Na Athman Hamza, jijini.
WAKATI fukuto la tishio la mgomo wa daladala jijini Dar es salaam likiwa bado halijapoa, Chama cha Madereva na Makondakta wa Daladala jijini (UWAMADAR) kimewageukia...
MWALIMU Mkuu wa Shule ya Sekondari St Thamos More Muchrine, Costantine Kirwanda (35) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kwa tuhuma za kumdhalilisha mwanafunzi wake...
*Wauaji mbaroni
Na Waandishi Wetu, jijini
UMATI wa watu jana ulishuhudia mwili wa Mohamed Ramadhani (30), aliyeuawa kinyama kisha kutupwa ****** kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kutokana na...
DEREVA teksi aliyefahamika kwa jina la Nicolaus Mwaikambo(25) mkazi wa Kinyanambo mjini Mafinga ameuawa na watu wasio julikana usiku wa kuamkia jana kwa kupigwa kwa kitu kinachodaiwa kuwa ni...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watatu waliowahi kuwa wanajeshi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha sambamba na watuhumiwa...
SHULE ya kimataifa ya Soutthern Highland Mufindi na Brokebond zafanya vizuri mtihani wa taifa wa darasa la saba mwaka 2010 katika mkoa wa Iringa na kuzipita kwa mbali shule za msingi...
NUSU ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwezi Septemba, mwaka huu, wamefeli.
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya...
Nilimsindikiza shemeji yangu kwenda kumsalimia ndugu yake aliyelazwa pale.
Nilipokuwa eneo la hospitali nikapata tashwishwi ya haja ndogo ambapo nikaelekezwa vyoo vya wodini. wodi ya kwanza mpaka...
Leo mbunge wa arusha mjini (Godbless Lema) alipata nafasi ya kuwa shukru wa kazi wa Arusha mjini na kutoa vipaumbele kuwa ni (1) kujenga hospitali kubwa ambao mchakato umeshanza ndani ya wiki moja...
Karibu katika kila mkoa au wilaya katika makao makuu ya serikali ya mkoloni (kwa RC or DC) hata huko Zambia na Malawi huwa kuna BOMA na huitwa Bomani kumbe ni British Overseas Management...
Matokeo ya wanafunzi waliomaliza drs la saba mwaka huu yametoka.
Kama yupo memba yeyote ambae yuko kwenye nafasi ya kuyaweka humu, ili kuwasaidia wote wale wenye interest waweze kuya access kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.