JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,912
- 3,277
Ndugu zangu tangu zamani nilikuwa na ndoto ya kuanzisha kituo cha redio kwa ajili ya vijana wenzangu ili waweze kusikika, naona sasa ni muda muafaka wa kufanya hii kitu.
Naombeni mtu yeyote mwenye Idea ya taratibu za kufuata, gharama zake na kila kitu kinachohusiana na radio station anisaidie ili niweze kuingia kwenye tasnia hiyo ya habari.