Ombi: Matokeo ya drs la saba 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi: Matokeo ya drs la saba 2010

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Misterdennis, Dec 3, 2010.

 1. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #1
  Dec 3, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Matokeo ya wanafunzi waliomaliza drs la saba mwaka huu yametoka.
  Kama yupo memba yeyote ambae yuko kwenye nafasi ya kuyaweka humu, ili kuwasaidia wote wale wenye interest waweze kuya access kwa urahisi' tutashukuru akiweza kuyaweka humu.
  Asante
   
Loading...