Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Q1. man --------- board Q2. stand ------------ i Q3. /r/e/a/d/i/n/g/ Q4. r road a d Q5...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Is Africa's privacy under threat? Ghana and Nigeria are among the latest African governments to insist that all mobile phone subscribers register their numbers in a bid to crack down on crime...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamii, Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hili neno la waasisi wetu. Kwa kweli naamini kwa wengi wetu maana halisi ya waasisi wetu bado ni suala tata. Kwa muono wangu ni kuwa kuna...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Monday, 25 January 2010 08:44 Na Mwandishi Wetu, Tanga SHULE Kongwe ya Sekondari ya Usagara iliyoko jijini Tanga inakabiliwa na tatizo kubwa la upungufu wa Walimu wa Masomo ya Sayansi na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
sikuwahi kuona ''mgomo'' wa staili hiyo kwenye historia ya wokovu(kuanzia adam mpaka yesu)...!nashindwa kuelewa unatumia clause ipi katika biblia takatifu kuwakeshesha waume za watu,wake za...
0 Reactions
80 Replies
9K Views
KHARTOUM, Sudan MWANAMUME mmoja raia wa hapa ameripotiwa kumrushia kiatu Rais Omar al Bashir akiwa kwenye mkutano katika jengo moja lililopo mjini hapa. Walioshuhudia tukio hilo wamesema kuwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii ni kwa taarifa tu Ndugu zanguni ukiona mwenzako ananyolewa tia maji askari wa kituo cha polisi changombe wamekuwa wakishirrki zoezi la kukodisha silaaha kwa majambazi na wengine hushirki...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
26th January 2010 Arusha Regional Police Commander, Basilio Matei Police in Arusha have unearthed a multi-million shilling scam of counterfeit sanitary pads manufactured in China...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Baadhi ya wasamaria wakijaribu kutoa msaada kwa waathirika wa kibanda kilichoparamiwa na lori leo asubuhi na kusababisha kifo cha mtu mmoja katika ajali iliyotokea leo asubuhi Mbagala Rangi Tatu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MKAZI wa Sinza Abdul Adam (25), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kughushi cheki ya benki na kuiba. Mshitakiwa amesomewa mashitaka yake na Mwendesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwenye miaka ya 80 wakati Mrema alikuwa waziri wa Mambo ya ndani wananchi walikuwa wakijitolea kujenga vituo vya polisi maarufu kama Polisi Post ili kuimarisha usalama kwenye maeneo yao lakini je...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Barabara ya Kilwa ni Bomu kabisa!!!! (From Michuzi) Barabara hii iliyozinduliwa hivi majuzi ina kila aina ya ubovu wa kitaalam. Barabara hii imeanza kubonyea sehemu mbali mbali. Barabara...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
WAZIRI wa Nishati na Madini Bw. William Ngeleja amesema kuwa si viongozi wote wanaoingia katika Mgodi wa Buzwagi wanapewa bahasha za kaki na kushindwa kushughulikia mgogoro wa fidia za watu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NI LAZIMA TUFAHAMU KUWA Mungu ametuumba kwa kusudi maalum. Akatupa Jinsia tofauti ili tuweze kuendeleza kizazi chetu na tutimize wajibu na majukumu yanayotukabili siku kwa siku. Tunapoamka na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Atoboa uadilifu umeporomoka Sasa chaanzishwa kitengo maalum Asema Ze Utamu bado wanasakwa Jeshi la Polisi nchini lipo katika mkakati madhubuti wa kujisafisha ili kulirejeshea maadili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jemeni hili tangazo la TCC Club limeweka funguo za magari 3. kwa waliosahau wawasiliane nao wakazichukue, Hivi kweli mtu unaweza ukaondoka na kusahau funguo za gari?? Na kama kweli umesahau basi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua wengi mtakuwa na mtazamo hasi juu ya hii habari,kabla sijaanza kueleza juu ya haki za mashoga, ningependa ujue kwa nini mtu anakuwa shoga? Kila mtu atakuwa anajua, unapozaliwa una kuwa na...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
uchaguzi wa tff unakaribia ambapo nafasi ya makamu wa pili wa tff inagombewa na ramadhan nassib na john ncimbi.lakini aliyegombea nafasi hiyo uchaguzi uliopita bwana damas ndumbaro amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MCHUNGAJI Christopher Mtikila ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha Siasa cha DP jana alirudishwa tena rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. Mtikila jana alijikuta akirudishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa, Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi tarehe 11/11/2009. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Back
Top Bottom