Amini sasa!
Fact 1. Brazil won the World Cup in 1994. Before that they had also won it in 1970. Add these two years and you get 3964 (1994+1970 = 3964).
Fact 2. Argentina won its last World Cup...
SIJUI KAMA KUNA MTU ANAWEZA NISAIDIA KWA HILI
KAMA KIAKA SABA ILIYOPITA NILIANZA KU EXPERIENCE VITU TOFAUTI HIVI
MFANO MACHO YALIKUWA YANACHEZA NA KUNIPA ISHARA FULANI HIVI..
JICHO LA...
Habari za muda tena,
Nauliza swali, hivi bunge linaendela au wameshamaliza? Linanitia kichefuchefu tu, mara ukute robo tatu ya wabunge hawapo, waliopo wanasinzia tu... na kutumiana meseji za...
Wakuu jana katika Taarifa ya habari nimeona Wachina wamekuja na mpya.This time wamekuja na Magodoro yenye spring(built in). wanadai ni mazuri kwa wenye matatizo ya kiuno. hii imekaaje wakuu???? by...
Sijui wenzangu, lakini mimi leo nimejaribu kupata nakala ya gazeti la KULIKONI kuanzia saa tatu na nusu hadi saa sita na kuanzia Posta mpya hadi kariakoo sikupata nakala yoyote. Niliskia asubuhi...
Takukuru wanasa vyerehani 15 ofisi za CCM Saturday, 03 July 2010 06:47
Zulfa Mfinanga, Shinyanga
Mwananchi
VYEREHANI 15 vimekamatwa katika ofisi ya CCM wilayani Shinyanga vilivyotarajiwa...
Mufti Sheikh Mkuu wa Tanzania Issa bin Shaaban Simba, akitoa tamko la masheikh kwa waandishi wa habari Dar es Salaam la kuikataa ripoti ya tume ya pamoja ya serikali kuhusu mahakama ya kadhi...
zqWsAYPWzNI]http://www.youtube.com/watch?v=zqWsAYPWzNI[/URL]
YouTube - Hot Hot Hot- Arrow
Blistering heat expected in Northeast
By the CNN Wire Staff
July 5, 2010 5:54 p.m. EDT
National...
From MARC NKWAME in Simanjiro, 4th July 2010 @ 12:00,
DAILY NEWS
THE government has said that it was satisfied with the investments on education whose fruits will be seen in the near future...
Hatimaye barua halisi ya mmishionari David Livingstone imepatikana tena huku London kwenye mnada mmoja miaka 140 tangu aiandike barua hiyo katika hali ya kukata tamaa.
Alimuandikia rafiki yake...
Nisaidieni kuziuliza mamlaka husika,miaka mingi sasa imeipita na sijawahi kusikia mamlaka husika zikitaja ni kiasi gani cha dawa za kulevya zimekamatwa hadi kufikia hii leo? Wasiwasi wangu ni...
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bunge la Tanzania, Mbunge ambaye ni mlemavu wa macho, Zuleikha Yunus Haji, amewasilisha taarifa ya ripoti ya kamati. Alikuwa anawasilisha ripoti ya kamati...
Kuna sehemu niliona Topic ya Maisha bora kwa kila Mtanzania nimeitafuta nimeikosa sijui imepotelea wapi. Haya ndo maisha yetu sisi wadanganyika hii ni moja kati ya Zahanati hapa hapa Tanzania...
Kuna taarifa zimevuja hasa baada ya wale vijana wa malawi ambao walioana kuachana kwamba walifadhiliwa na mawakala wa UN kupitia shirika la UNFPA.
Kuna taarifa pia kuwa makakati wa UN ni...
Jamani mie nashangaa, kuna watu akiingia ****** kujisaidia hukaa kuanzia nu saa hadi saa nzima!!
Huwa nashangaa wanafanya nini muda wote huo kama ni haja kubwa ikitoka si basi ikija tena si...
Nina ndugu yangu ambae amefariki, na imekujakugundulika siri zake nyingi alikuwa amezihifazi kwenye Email yake. Hivyo naomba msaada kwa yeyote mwenye kufahamu namna ya kugundua password kesheria...
Habari ya Jumapili?
Siku moja moja Obuntu hufanya maamuzi ya kutembea kutoka Mabagala Rangi Tatu (anakoishi) hadi Mbagala mission (Saint Anthony) : Kama sehemu ya kunyoosha vioungo na pia...
UK traffic congestion charges spark debate
By Jaston Binala
3rd July 2010
The government has said it does not owe the British Government unpaid traffic congestion charges slapped on...
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM JUMAMOSI JULAI 3, 2010
Askari polisi mmoja ambaye ni Mkufunzi wa Tanzania police Academy, Konstebo Noel Paul Jenga33), amejiua leo kwa...
Ni kwamba wanafunzi hao ambao wamehitimu degree ya sheria na kujiunga na Law skul hawaelewi mambo yanavyoenda kuhusiana na mikopo. Wanadai wanaishi katika mazingira magumu sana yanayowafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.