Kesho ni BANKERS' DAY | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesho ni BANKERS' DAY

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Jun 30, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwaka jana tulipata usumbufu sana baada ya mabenki kuto funguliwa kutokana na hii siku yao ya kufanya mahesabu yao ya mwaka.
  Tujihadhari, hamna taarifa rasmi zenye kutuelekeza tufanye nini.
  Wenye mahitaji ya kifedha muende kwenye mashine kungali mapema.
   
 2. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa Kiranja Mkuu.
   
 3. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Thanx.....
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,355
  Likes Received: 22,219
  Trophy Points: 280
  Heri wetu tusio jiwekea hazina duniani ambako.
   
Loading...