MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, imeelezea kukerwa na tabia ya kuahirisha mara kwa mara kwa kesi ya madai inayowahusisha wafanyabiashara maarufu jijini Reginald Mengi na Yusuf...
Uzuri wa Takukuru usiishie kwenye majengo ya kisasa
Imeandikwa na Mhariri; Tarehe: 15th December 2010 @ 23:59
KASI ya ujenzi wa ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini...
Pinda awatemea cheche wezi
Imeandikwa na Jasmini Shamwepu, Dodoma; Tarehe: 16th December 2010 @ 07:01
WATUMISHI wanaofanya kazi kwa malengo ya kuiba fedha za umma wametakiwa kujiengua kwenye...
KAMPENI ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ya kukusanya madeni yake yanayofikia Sh bilioni tisa, imeanza kwa kasi mkoani Dar es Salaam na kuacha wapangaji wake wakiwa hoi.
Baada ya kujikuta na...
Mfanyabiashara maarufu aliyewahi kuwa mshauri wa Rais mstaafu Dk. Salmin Amour kwa masuala ya Michezo, Mohamed Raza, ameendelea kulumbana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph...
Wapendwa majuzi tumeona kwenye gazeti kuna vigogo kama kumi wamejilimbikizia vitalu vya kuvuna mbao uko sao hill kichekesho kila mtu ukimuuliza anasema alichukua kwa ajili ya kuvuna mbao za shule...
Evidence for the cure of HIV infection by CCR532/32 stem cell transplantation
Kristina Allers1,*, Gero Hütter2, Jörg Hofmann3, Christoph Loddenkemper4, Kathrin Rieger2, Eckhard Thiel2 and Thomas...
Habari zenu ndugu zangu,ktk pita pita zangu nimefanikiwa kugundua kua kiburudisho cha ugoro kimekua kikitumiwa na wazee watu kwa zaidi ya miaka mia,pia bidhaa hiyo imekua ikitengenezwa kiasili kwa...
jamani kama kuna siku nimeudhika ni leo , mtandao wa voda unakera sana tokea saa tatu asubuhi napiga simu haziendi inabidi nitumie mtandao mwingine kuwasiliana na watu wa voda hivyo unanizidishia...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) ambayo iliwafanya wanasiasa kukosa usingizi wakati wa mchakato wa kura za maoni kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu, wameibuka tena mafichoni na...
POLISI mkoani Arusha wamewakamata watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na bunduki aina ya Rifle ikiwa na risasi 10 wilayani Longido.
Uchunguzi wa awali uliofanywa na jeshi hilo mkoani hapa...
Mwanamke mmoja kwa jina Shija Buswega wilayani kahama mkoani shinyanga amejifungua watoto watano. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana mwanamke huyo alijifungua watoto hao kwa msaada wa mumewe tu...
Mikopo Elimu ya Juu: Kama tunachangia, basi hatuna deni | Gazeti la MwanaHalisi
Mmekaona hako ka-adress, hebu kabofye uone utamu wake, but mind you ni kwa ajili ya wanafunzi tu walizulumiwa...
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Zanzibar Telecom Limited (Zantel), imetikiswa na pigo la kisheria baada ya kukumbana na hukumu ya kutakiwa kumlipa mfanyabiashara wa Dar es Salaam mamilioni ya...
:angry:Tusaidieni wataalamu wa mipango miji na wahandisi, je ilikuwa sawa EPZ (EXPORT PROCESSING ZONES) kujengwa pale external/jirani na Mabibo hostel? km kweli tunampango wa kweli kupunguza road...
Neno la uzima 2010
nawajua walio wangu..haya ni maneno kutoka kwa bwana yesu
je wewe uko wapi ...wapendwa katika bwana nawapongeza wote mlioshiriki katika mijadala mbali mbali jamvini kwa wale...
Jamani naombeni msaada wa mawazo.
Nimefanya kazi kwa muda mrefu na mwajiri wangu huyu wa sasa.
Hivi karibuni nikapata wazo la kwenda nssf kuangalia michango ambayo kwa mujibu wa salary slip...
POLISI jijini Dar es Salaam inawashikilia watu watatu akiwemo mmoja ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 60 jela, wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliopora silaha ya askari.
Kamanda wa Polisi...
KATIKA hali yakushangaza jana washitakiwa watatu katika kesi ya unyanganyi wa kutumia silaha, wamefanya kioja cha kufungia mwaka kwa kuchukua maamuzi ya kuvua nguo kupinga hukumu iliyotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.