Serikali yaongeza muda wa usajili wa SIMU kwa wiki mbili zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yaongeza muda wa usajili wa SIMU kwa wiki mbili zaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Obuntu, Jun 30, 2010.

 1. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Source: Radio One

  Obuntu: Humanity asks: Kama usajili wa SIMU unachukua miaka miwili, Mradi wa vitambulisho utachukua muda gani?
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mradi wa vitambulisho hata usajili wa simu haukomi mpaka nchi itakapokoma ku-exist. watu wataendelea kuzaliana hivyo vitambulisho vitahitajika na wataendelea kutaka line za simu na hivyo itabidi usajili uendelee.

  Tatizo imeeleweka kama vile baada ya usajili huu wa timing hakuna atakayeruhusiwa kununua au kuwa na line ya simu.
   
 3. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Lumbe:

  - Kuna mradi usiokuwa na "ukomo"?

  - Nadhani wewe ndio umeelewa vibaya (hasa hiyo bold/underline) it tells me your IQ level!
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni kukosa umakini tu kuanzia hao wenye makampuni, wateja hadi serikali... wengine tumelazimika kujisajili zaidi ya mara moja ati data zetu hakuna....

  kinachonisikitisha ni ulegevu wa serikali ku-extend hii deadline, walitakiwa wakomae na tutakaofungiwa hizo line tufanye the needful within 90days

  TUNGEKUA NA UWEZO TUNGE-EXTEND HATA DEADLINE YA KILA KITU
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  MKUU UMEMISS POINT

  soma tena mazee.. you are heading east while ujumbe uko west

  kila mradi una ukomo na wanaokuja wapywa will fall under another category... zoezi lilikua la kusajili existing numbers therefore any new user with new number atakua nje ya zoezi na maana yake anatakiwa kupata sim card baada ya kukamilisha taratibu za registration, siyo kama tulivyokua tunabeba tu sim cards hata kumi
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2010
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Usajili wa line ya simu si mradi, na ndio maana hata muda uliowekwa ukiisha, bado watu watanunua line na kutakiwa kuzisajili. Usajili wa line utaisha pale uuzwaji wa line utakapositishwa. Mimi nilikuwa nasikiliza tu mkwara wa TCRA, lakini nilijua ni uongo. Haiwezekani mtu asajili simu leo saa 10.00 jioni halafu saa sita usiku utekelezwaji wa hatua ya kufungia zisizosajiliwa uanze. Je, mtu huyo aliyesajiliwa leo 30/06/2010, ameingizwa saa ngapi kwenye system wakati tunajua mawakala wa usajili hawataweza kuwasilisha taarifa leo leo?
   
 7. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  na bado...
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Mkuu national Identity haiweze kuwa mradi kama miradi mingine, imeitwa tu mradi ili watu wacheze rafu ktk masuala ya tenda lakini hiyo kitu ni idara endelevu kabisa katika serikali kama vile rita wanaotoa vyeti vya kuzaliwa na kufa. Wewe ndiye ambaye IQ level yako ina mushkeli unadhani utoaji wa vitambulisho vya utaifa ni project ya muda fulani.

  Use your brain
   
 9. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Lazima pawe na "ukomo" wa kusajili - whether you agree or not - And then "going forward" ni lazima kuwepo "system or mechanism" ya kuhakikisha kuwa "line" zote za simu zitakazonunuliwa tangia siku ya "ukomo" wa usajili haziuzwi kama "karanga"! Otherwise the entire registration process itakuwa "null & void".

  Lazima mtumiaji mpya wa simu atatakiwa kuleta vielelezo (kama ambavyo tupeleka sasa kufanya usajili) ili aweze kupatiwa line mpya. Utaratibu wa kuuza "line" za simu kwenye mabaa na vituo vya mabasi ni lazima ufe! Huo ni mtizamo wangu na I believe the whole idea ya kusajili simu was to ensure responsibility and accountability kwa both - Kampuni zinazotoa huduma na mteja/mlaji.
   
 10. k

  kashwagala Senior Member

  #10
  Jun 30, 2010
  Joined: Mar 10, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kaaazi. . . . kweli kweli!
   
 11. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Yes I agree with you mkuu, hii nchi ni ya kupigana mikwara hovyo hovyo haina mwenyewe. What I meant ni kuwa watu wameelewa tofauti kama after this ngwe ya usajiri mifumo inafungwa kabisa kitu ambacho si kweli. na makampuni ya simu yametumia loop hiyo kuanzisha hata bahati nasibu kwa kuuza misimu mingi ya kichina.
   
 12. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yeah: I need a lot of brain to understand the phrases below:

  - National Identity haiwezi kuwa mradi kama miradi mingine:
  - Imeitwa mradi ili watu wacheze rafu:
  - Ni idara endelevu katika serikali kama vile rita:
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  It will always be NOT YET!
   
 14. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,045
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kampuni za simu zinashindwa kuelewa kuwa kuna wateja walikuwa na line ambazo wanatupa, wengine wamesafiri au wamekufa. Katika mahesabu yao wanadhani namba yoyote iliyokuwa active at a certain time (t) basi ipo mahali na haijasajiliwa. Ndio wanapiga makeleleee, utakuwaje na namba halafu mpaka deadline inafika haujasajili?
   
Loading...