Utafiti: Simu za mkono ni chanzo cha kufa kwa nyuki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utafiti: Simu za mkono ni chanzo cha kufa kwa nyuki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hofstede, Jun 30, 2010.

 1. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kumekuwepo na malalamiko kuwa Nyuki (Honey bees) wamekuwa wanapungua kwa kasi. Wanasayansi, wamegundua kuwa mionzi ya simu ya mkononi ni moja ya sababu kubwa ya kuingilia mawasiliano ya nyuki hasa kugundua muelekeo wa mzginga wapo ulipo na kupotea na kufa, kwani chakula chao ni asali iliyo kwenye mizinga yao.

  Umuhimu wa nyuki tunaujua ni mkubwa sana kuanzia uchavushaji wa mimea na asali yao. Je huu sio wakati muafaka wa kuangalia viumbe wengine wakati sisi tunaendelea na uvumbuzi wa aina mbalimbali?. Fuatilia link hapo chini

  Source: Study links bee decline to cell phones - CNN.com
   
 2. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,106
  Trophy Points: 280
  umh! hii kali sana.
   
Loading...