Balali na mkwanja wetu

Balali na mkwanja wetu

kichenchele

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2010
Posts
539
Reaction score
177
Habari wadau wa JF, naomba kufahamu ukweli juu ya kifo cha huyu jamaa aliyechota mabilion ya shilingi pale BoT, Mheshimiwa sana Balali hivi ni kweli alifariki au ni danganya toto? Nimediriki kuuliza maana kuna wadau wanasema yuko kwa Obama anakata mitaa kama kawa, wengine wanasema amefanyiwa plastic surgery, kwa hiyo amebadilika kidogo, hebu semeni ukweli.
 
It does not matter anymore - say obuntu: humanity:

"... waache wafu wazike wafu wao....":
 
.....Jamaa mbona bado yupo yupo sana tu... tehe teheee wadanganyika bwana.
 
Back
Top Bottom