Hili Bunge letu hili la Tanzania .... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili Bunge letu hili la Tanzania ....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by FirstLady1, Apr 28, 2010.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Mbona halina mvuto wa kuliangalia ...??
  Hivi Hawa wabunge huwa wanaangalia mabunge ya wenzao nianze karibu hapo Kenya

  Kenya unaangalia Bunge lina changamoto ..linaleta hisia ya kuangalia muswada unaojadiliwa saaafi kabisa ...
  Uingereza ...Kila ninapotazama Bunge la Uingereza natamani lisiishe ,,Point zinaongelewa mada zinajadiliwa ..hakuna habari za kumsitop mbunge kisa ameongea lugha mbofumbofu ,hata Gordon Brown akiwa hapo Bungeni anapewa vidonge vyake Bila kuogopwa..
  Ukrain jana tu tumeona spika akipigwa na mayai mpaka kufunikwa na miamvuli ..

  [​IMG]
  Parliament speaker Volodymyr Lytvyn was pelted with eggs and had to preside behind a shield of umbrellas.


  Hili Bunge la kwetu likoje ...wabunge hawako huru wanaogopa kuongea hawajiamini..kazi yao ni kupiga soga na kusinzia Bungeni,,,,
  Juzi kama sikosei ulikuwa unaongelewa mswaada wa aridhi mama sita na mbunge mwenzio wanapiga story mpaka wanagongeana mikono utadhani wako mtaani hii inamaanisha walikuwa hawasikilizi kinachoongelewa .

  Hili ni Bunge gani ??????
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  1. Japo maandishi yako yamepandiana mwisho wa thread yako, nitajitahidi kuchangia(sijui kama ni sipiyuu yangu ina shida)!

  2.Huku kwetu, wabunge SIO WAWAKILISHI wa watu(in real sense), ndo maana hawaoni shida endapo hoja zao zitajibiwa hovyo-hovyo.

  3Sense ya kuumwa na matatizo ya wananchi haipo mioyoni mwao, ndio maana hawawezi kuthubutu kumhoji mtu kwa kumtazama usoni!

  4.Kuna harufu ya kulindana...Naficha ya kwako, na wewe ufiche yangu!

  5.Wanawaza Posho...Niibwatukie sirikali,kisha ikinikwamisha(kwa kutumia machinery zake) kwenye uteuzi, nikose ubunge nitakuwa mgeni wa nani...?

  Kwahiyo sahau kabisa kuona BUNGE lanye msisimko Tanzania!
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi huwa naona uozo mtupu. ni jamii ya watu waliochaguana na kupeana mamlaka ya kuifilisi nchi hii bila huruma. hawana uchungu na nchi yao wao ni watu wa kufuata posho tu na mikopo wanayojilimbikizia kila siku. pensheni ya mfanyakazi wa kawaida kwa miaka ishirini na tano au thelathini haifiki hata milioni ishirini, lkn hawa waheshimiwa sana wakifanya kazi miaka mi TANO tu wanajilipa eti milioni 46 km kiinua mgongo, wadanganyika TUAMKE sasa huo ndo wizi wa mchan mchana, pesa nyingi kiasi hicho kwa kazi gani wanayoifanya? kupitisha ile mikataba mibovu? kukumbatia sheria zilizopitwa na wakati? kulala bungeni tu ? na kutembelea yale magari ya kifahari? Nchi hii inafilisiwa na wabunge, mawaziri na wakurugenzi waooo. LKN IPO SIKU TUTAAMKA TUU
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Umenema vyema PJ kwa mie imefikia hatua huwa naangalia bunge letu kwa bahati mbaya au nimekosa cha kuangalia kwenye TV
  ni kama vile danganya toto ili tuone Tanzania bado kuna Bunge Aibu tupu
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni siku gani hiyo chimunguru ambayo watanzania tutaamka ..
  Maana wabunge wetu hapa Pointless ikiongewa wao wanagonga meza tu anashituka kutoka usingizini akikuta mwenzie anagonga meza na yeye anaendelea na zoezi
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  Apr 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Lakini angalau siku hizi lime improve si kama miaka saba iliyopita..
   
 7. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #7
  Apr 28, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Unafikiri wanagonga meza kwa sababu wamesikia kilichoongelewa? wanagonga meza ili wasionekane wamekaa tu. kwa kweli ni aibu tupu
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  GS mie mbona sioni nafuu yoyote wanakaa kama kuku kamwagiwa maji
   
 9. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nchi ya tanzania tangu nilipoijua sijaona kiongozi mwenye uchungu kama hayati nyerere!!!! kwisha .....wengine wote ni kula kwa kwenda mbela...sasa tujilaumu wenyewe tu kwa kuwachagua viongozi wabovu
   
 10. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #10
  Apr 28, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Improvment ipo FL1 believe me.
   
 11. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bunge la tz ni sawa na waliokusanyika kusikiliza nini kimeandaliwa na kitatekelezwa vipi, kuhoji au kutohoji si jukumu lao kwa trend ilivyo.
  namkumbuka dr mmoja pale ud, aliwahi kusema kuwa ukihoji tu, instantly after the meeting au utatumiwa memo na kuulizwa, are you the mwenzetu??????
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  umenichekesha Felix kumbe na hizo zipo?
  Naona wabunge wetu wako maalum kwa ajili ya kutonyonya hata kile kidogo tunachopata sio kwa maslahi ya wananchi
   
 13. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #13
  Jun 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Asnate sana bunge la mwezi huu ndo kabisa halina hata mvuto
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Jun 25, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,345
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  mmmmhhhhh............................
   
 15. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #15
  Jun 26, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 306
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  bunge la sasa wabunge wanachowaza ni jinsi ya kupora kura octoba na kurudi tena bungeni awamu ijayo ili waendelee kula , kujadili maswala muhimu ya nchi halipo kichwani mwao
   
 16. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #16
  Jun 26, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Bunge lenye kuongoza kwa kusinzia duniani litakuwaje na mvuto Firstlady?
   
 17. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #17
  Jun 26, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Viti viko wazi wakati bunge linaendelea, muda wa kutambulisha wageni ni mwingi sana na spika anaona ni kitu chenye tija ( ni kama sisi ofisini) akija mgeni anaishia reception unasimama toka mezani kuuliza anachotaka. Kama wageni wanataka kuelewa bunge linavyofanya kazi waende mwanza ( wiki ya utumisi wa Umma) sabasaba au nanenane au waangalie TBC.

  Miswaada haijadiliwi effectively. Utaona wabunge badala ya kutazama anayeongea wanatazama opposite direction. Katika kuongea kumuona mtu anayeongea inasaidia sana kujua sriousness yake hapa ni mchezo wa kuigiza.

  Muda mwingi wa wanaochangia unatumika kupongezana for nothing. Nawapongeza wapiga kura, mwenyekiti wangu wa CCM taifa, Spika, naibu spika, mfanyakazi wa Bunge, wapigakura wangu, mke wangu na familia yangu almost three minutes ni pongezi na Pole. Chochote walichofanya ni jukumu lao na after all they are paid for it, shukrani za nini? Kama ni lazima, kwa nini TBC au Redio Free Africa wasianzishe kipindi cha salamu na pole toka bungeni watakuwa wameserve muda wa Watanzania kwa kiwango kikubwa sana.
   
 18. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #18
  Jun 26, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Au ndo sababu ya vile vijikaratasi kila dakika kupitishwa kutoka kushoto kwenda kulia, nyuma kwenda mbele
   
 19. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #19
  Jun 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Maskini weee, kumbe hujui kuwa hatuna bunge bali tuna jengo.... huwezi kusema tuna bnge utakuwa una idhalilisha maana halisi ya bung, hebu bofya maana ya bunge kwa kizungu kwenye serch engine yoyote hata kama ni google itakupa fasta maana ya bunge na kisha linganisha na lile la Walalavi yaani wanaosinzia sinzi bila mantiki yoyote, na kupiga stori mwanzo mwisho, bunge la majungu na unafiki, si semi kwa jazba ili nifungwe ila naona nina haki ya kuongea, Bune la NDIO, Bunge la sawaaaaa, ipite....Nini ipite hawajui, hebu unikumbushe nikutumie picha moja ya ndugu zetu wakiwa bungeni
   
 20. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #20
  Jun 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Mfano tu Wa Viongozi.JPG

  Naskia jamaa naye alienda mahali kusingizi kakampitia, hebu nitafutieni na mie hako kapicha jamani
   
Loading...