Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15

Ili Asifariki Analazimika Kula Kila Baada ya Dakika 15

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,077
Reaction score
34,849
<table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
4689862.jpg

Lizzie Velasquez</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Wednesday, June 30, 2010 7:01 PM
Mwanamke mmoja nchini Marekani ambaye pamoja na kuwa na umri wa miaka 21 ana uzito wa kilo 25 tu na kutokana na ugonjwa wa ajabu alio nao analazimika kula chakula kila baada ya dakika 15 ili aweze kuendelea kuishi.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Lizzie Velasquez wa mjini Texas nchini Marekani anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu ambao unauzuia mwili wake kunenepa au kuongezeka uzito.

Lizzie analazimika kula chakula kila baada ya dakika 15. Kwa siku hula chakula kinachoupa mwili wake kalori 5000 hadi kalori 8000 lakini hanenepi na bado ana uzito wa kilo 25 tu.

Lizzie mwenye urefu wa sentimeta 157 ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja mjini Texas.

Madaktari wameshindwa kuugundua ugonjwa unaomsumbua Lizzie lakini wanaamini kuwa hali aliyo nayo sasa inasababishwa na upungufu wa kimiminika cha amniotic kilichokuwa kikimlinda alipokuwa tumboni mwa mama yake,

Lizzie alizaliwa akiwa na uzito wa gramu 920 na madaktari wanashindwa kuelewa amewezaje kuishi miaka mingi kiasi hichi.

Alipokuwa na umri wa miaka minne, Lizzie alipoteza jicho lake moja lakini mwenyewe anasema kuwa amekubali hali aliyo nayo na hufurahi kupata marafiki wapya.

Lizzie hivi sasa anaanda kitabu kuhusiana na maisha yake ya kila siku.



1050.jpg


Lizzie Velasquez wa mjini Texas nchini Marekani ambaye pamoja na kuwa na umri wa miaka 21 ana uzito wa kilo 25 tu na kutokana na ugonjwa wa ajabu alio nao analazimika kula chakula kila baada ya dakika 15 ili aweze kuendelea kuishi. Liz pichani akiwa na baadhi ya vyakula anavyokula kila siku



1049.jpg


Liz akiwa na familia yake


1048.jpg


Lizzie Velasquez wa mjini Texas nchini Marekani ambaye pamoja na kuwa na umri wa miaka 21 ana uzito wa kilo 25 tu na kutokana na ugonjwa wa ajabu alio nao analazimika kula chakula kila baada ya dakika 15 ili aweze kuendelea kuishi. <table style="width: 209px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr> <td style="width: 300px;"> </td> </tr> <tr> </tr></tbody></table>
Chanzo NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.

Eee Mwenyeezi Mungu msaidie mja wako huyu. Kweli Waswahili Husema (hujafa hujaumbika).
</td></tr></tbody></table>
 
Back
Top Bottom