Sekondari ya Rugambwa yaungua tena,Ni mara ya 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekondari ya Rugambwa yaungua tena,Ni mara ya 3

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rutunga M, Sep 2, 2010.

 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Shule hiyo kongwe ya wasichana iliyoko Bukoba imeungua tena usiku wa kuamkia leo

  chanzo ni mfumo wa umeme kuwa wa zamani

  wanafunzi 7 wameungua vibaya wamelazwa hospitali ya mkoa Kagera

  hii ni mara ya tatu kuungua kwa kipindi kisichozidi miezi sita

  wenye watoto shuleni hapo CHUKUA ATUA

  Chanzo:Radio Free Africa
   
Loading...