Mwalimu adaiwa kumbaka mtoto na kumpa ubuyu

Smiles

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
1,231
107
Na Hidaya Kivatwa

Mkazi wa Kimara Abduswamadu Shabani (25), mwalimu wa shule ya kiislwamu (madrasa) ya king'ong'o amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Kinondoni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake.

Awali alidaiwa kuwa Agosti 26, mwaka huu huko Kimara King'ong'o alimbaka mtoto ambaye jina limehifadhiwa.

Hati ya mashtaka ilieleza kuwa mtuhumiwa alitenda kitendo hicho wakati wa muda wa mapumziko, naye alitumia muda huo kumuita mtoto huyo na kumuingiza katika kibanda chake cha biashara na kuanza kumbaka na alipomaliza alimpa ubuyu na baada ya hapo alirudi darasani na kuwaruhusu wanafunzi waende nyumbani.

Mshtakiwa alikana shtaka hilo na yupo ndani kwa kukosa wadhamini hadi hapo kesi itakapotajwa tena Septemba 14, mwaka huu.

Source: Mwananchi

Sijui tunaelekea wapi jamani, inaumiza sana kuona mtu mzima anatenda kitendo kama hiki, imagine wewe kama ni mzazi wa huyu mtoto - hivi kweli?? nashindwa kuamini ukatili wa namna hii.....akifanyiwa mwanao??? hii ni laana au???
 
this is extremely teribo..Tanzania tutafika kweli?
Sidhani kwa mtaji huu kama elimu bora itapatikana.
 
Na Hidaya Kivatwa

Mkazi wa Kimara Abduswamadu Shabani (25), mwalimu wa shule ya kiislamu (madrasa) ya king'ong'o amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Kinondoni kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wake.

Awali alidaiwa kuwa Agosti 26, mwaka huu huko Kimara King'ong'o alimbaka mtoto ambaye jina limehifadhiwa.

Hati ya mashtaka ilieleza kuwa mtuhumiwa alitenda kitendo hicho wakati wa muda wa mapumziko, naye alitumia muda huo kumuita mtoto huyo na kumuingiza katika kibanda chake cha biashara na kuanza kumbaka na alipomaliza alimpa ubuyu na baada ya hapo alirudi darasani na kuwaruhusu wanafunzi waende nyumbani.

Mshtakiwa alikana shtaka hilo na yupo ndani kwa kukosa wadhamini hadi hapo kesi itakapotajwa tena Septemba 14, mwaka huu.

Source: Mwananchi

Sijui tunaelekea wapi jamani, inaumiza sana kuona mtu mzima anatenda kitendo kama hiki, imagine wewe kama ni mzazi wa huyu mtoto - hivi kweli?? nashindwa kuamini ukatili wa namna hii.....akifanyiwa mwanao??? hii ni laana au???

Hivi Abduswamadu Shabani! Kipindi hiki cha Ramadhani wewe unafanya huu ufirauni ili iweje! Ama ndo mambo ya Madrasa?
 
Yaani mi hata sielewi jamani, watu wengine sijui wana roho gani,
elimu bora ipatikane wapi kwa staili hii,
kero tupu, afu mtu kama huyu watazuga naye tu mahakamani na kumuachia,
tunazidi kuficha maovu halafu tunataka kuendelea??
bado sana....
 
jamni mimi sio mdini lkn nimeshasikia kesi nyingi kama hizi zikifanywa sana na waalim wa madrasa,hata mashoga wengi wanadai kuanzishiwa na walimu wao wa madrassa,why jamani inakuwa hivi!
viongozi wa kiislam inabidi walitupie macho hili suala maana linauchafua uislam!
 
Back
Top Bottom