Msaada tafadhali

Msaada tafadhali

Easymutant

R I P
Joined
Jun 3, 2010
Posts
2,564
Reaction score
1,135
Wanajamii Poleni sana na mishe mishe za kila siku, Ninachowaomba waungwana hapa ni aina gani ya rangi ambayo naweza kupaka ndani ya nyumba ikawa na mvuto ( decent color) maana ninavyojua ni kwamba color unayopaka at least inatakiwa imatch na Tiles utakazotumia sasa jamani mie kwenye kuchagua rangi hususani ya nyumba ni mweupe kabisaaaaaaa....

Nawatakia kampeni njema...
 
maana ninavyojua ni kwamba color unayopaka at least inatakiwa imatch na Tiles utakazotumia sasa jamani mie kwenye kuchagua rangi hususani ya nyumba ni mweupe kabisaaaaaaa.......

kwani nyumba yako tiles ni rangi gani mkuu? ukiweza weka picha hapa ya ndani palivyo ili tukushauri vizuri. In general rangi nyeupe au gold naonaga huwa ni bomba. Hongera kwa kujenga, wenzio bado tunalipa kodi. Aiseee
 
Mkuu sijaweka tiles ndo natafuta ushauri in general i mean Tiles pamoja na rangi,
 
Back
Top Bottom