Kampuni ya Security iliyowekwa pale sijui MINT MASTERS... Inaonekana kama ya mfukoni... Wamezoea kuwadaka Shoplifters pale Shoprite... Ila mtandao wa wezi pale MLIMANI CITY ni mkubwa mno... Na kuna mtoto wa kigogo mmoja (Jina kapuni) anahusika... Kwanini kusiwe na CCTV cameras...???
Surveillance cameras haziwezi kuzuia wizi. Wanachotakiwa kufanya ni kuongeza na kuimarisha ulinzi muda wote ambao wako wazi. Bila presence ya walinzi hata wafunge cameras 1000 bado wezi wataendelea kutesa tu kwani cameras sio deterrence ya uhalifu.
If they are serious about the safety and security of their patrons then they need to beef up their security presence. Only beefed up security presence can deter would be robbers.
kampuni ya security iliyowekwa pale sijui mint masters... Inaonekana kama ya mfukoni... Wamezoea kuwadaka shoplifters pale shoprite... Ila mtandao wa wezi pale mlimani city ni mkubwa mno... Na kuna mtoto wa kigogo mmoja (jina kapuni) anahusika... Kwanini kusiwe na cctv cameras...???
Nafikiri unaweza kuwa na camera na commanding center na ukiwa na askari wachache unaowalipa vizuri ni bora zaidi kuliko hilo wazo la kudeploy askari kibao , malipo mabovu etc. kwani mwisho wa siku kama unakamera inamaanisha hao watu tunaweza kuwafuatilia na kuwapeleka kortini na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria. Leo ni vibaka kesho inaweza kuwa uharifu mkuwa zaidi. Nyani Ngabu mfano ni malls za huko unyamwezini aka U.S.

Huwa na park mbele kabisa pale Samaki Samaki na ninamshikisha dogo 500! Kisisogelee hata kifaranga (not Kiranga) gari la Mchungaji! Askari ni kundi moja na wezi!
Lakini kamera hazizuii wizi. Au kwani kipaumbele hapa ni nini? Kuzuia wizi usitokee au kuwa na ushahidi usiopingika utakaokuwezesha kushinda kesi mahakamani?
ilo ni moja si unajua masuala ya 'fragranto delicto' hayo, la pili, ukiwa na jamaa wachache tuchukulie mfano wako mia na wanalipwa elfu 40 basi weka 20 na walipe laki 2 na kukiwa na masurufu kibao hapo hutaona tofauti inatokea.
Hili nimelishuhudia sana,walinzi wa pale kazi kuzuia bajaji tu zisiingie ndani securty pale ni zerooo kabisa
Hakuna CCTV pale???
Angalizo: Fungeni CCTV kwenye parking lot and common areas. Wizi kama huu hapo chini kwenye picha inaharibu dhana nzima ya kuwa na 'malls'. Wapeni wateja wenu imani ya usalama kwani mteja ni mfalme.
Hili tukio lingeweza kukamatwa na CCTV cameras: