Dawa ya uzushi uliotanda barani Afrika Jumatano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya uzushi uliotanda barani Afrika Jumatano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 3, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  'Brain haemorrhage' SMS causes panic in Kenya

  [​IMG]

  A text message being sent around claims 27 people have died after picking up calls from numbers listed in the SMS

  Kenya's telecommunications regulator on Wednesday told mobile phone users to ignore swirling rumours that receiving calls from some numbers appearing in red can cause brain haemorrhage.

  A text message sent around since late Tuesday and seen by AFP said 27 people had died after they picked up calls from numbers listed in the SMS.

  "Please inform all your friends and relatives soon, it's urgent," read the text.
  But the Communications Commission of Kenya (CCK) said the message should be dismissed.
  "Upon analysis of the messages, the commission has established the warnings are a hoax generated by unscrupulous people bent on causing fear and despondency among members of the public," a statement said.

  "In addition, the alleged haemorrhage due to high frequency has no technical basis whatsoever."
  The CEO of Kenya's largest mobile phone company Michael Joseph said the text message was "a popular urban myth that has been perpetuated, especially in some Asian markets."


  SOURCE: Africasia
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Ndugu wananchi msiendelee kuishi kwa hofu, na muupuze huo ujumbe unaosambazwa.
   
 3. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inasemekana Arusha kuna mama amelipukiwa,simu yake ilikuwa kwenye mkoba wake...nimesikia clouds sahivi.Inachanganya hii kitu.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280
  Kulipuka kwa betri hakutokani na mionzi wala sms, ni hizi betri tunazozitumia zenye viwango duni vya ubora.
   
 5. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Au ni makumpuni ya simu yalianzisha? Maana bei za sms hazijashuka!
   
 6. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  no reality.....
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Uvumi kama upepo
   
 8. Kaka Sam

  Kaka Sam JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kaka nimegonga senks hapo juu, ki ukweli mi nimepokea msg toka kwa best angu inayosomeka hivi "Ukipigiwa simu kwa private number au ikaandikwa call kwa red color, usipokee ni mionzi, una paralise na kufa. Imetokea Kenya watu wamekufa, julisha ndugu na jamaa" baada ya kupokea na bila kujadili kichwani nikaifoward kwa my yf kipenzi. Nimetafakari kwa kina hii science inakuaje sijapata majawabu... ila sasa nimeelewa, senks sana mkuu.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  CAUSES
  Intracerebral bleeds are the second most common cause of stroke, accounting for 30–60% of hospital admissions for stroke. High blood pressure raises the risk of spontaneous intracerebral hemorrhage by two to six times. More common in adults than in children, intraparenchymal bleeds due to trauma are usually due to penetrating head trauma, but can also be due to depressed skull fractures, some may experience intense headaches. They may also go in to a coma before the bleed is noticed. A hit to the head or fracture to the skull may also cause this bleed. acceleration-deceleration trauma,rupture of an aneurysm or arteriovenous malformation (AVM), and bleeding within a tumor. A very small proportion is due to cerebral venous sinus thrombosis.
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Jamani
  hata kiziwi anajua huu ni ujumbe potofu.
  Tusichanganyikiwe jamani hakuna kitu kama hicho
  Mtavuruga saumu zenu bureee
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  hii kitu ipo kitaalam inaitwa '' SUN OUTAGE'' kinachotokea hapa ni kuwa kuna mahali wakati dunia inajizungusha kwemye mhimili wake mionzi ya jua inakuwa sambamba na satellite, hivyo kuna matatizo hujipokeza ikiwa ni pamoja na kuharibu mfumo mzima wa mawasiliano, ambapo muathirika ni mtumiaji wa simu.
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  yaani sisi watanzania!! mpaka ufiwe na nduguyo ndo muamini.

  sisi wataalamu wa mambo ya mifumo ya mawasiliano hii kitu ipo!

  mweee!!
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama 'Sun Outage' ni tatizo linaloweza kumpotezea maisha mtumiaji wa simu ya mkononi!
   
 14. B

  Binti Sayuni JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  D5, na mimi nimepokea msg kutoka kwa rafiki yangu akinitahadhalisha kuhusiana na kupokea simu inayosomeka kihivyo.
   
 15. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Jamani huu ni uvumi tu na tena umeanzia kenya toke majuzi,

  we ulisha wai ona wapi ukipigiwa simu zile namba zabadirika kuwa Red jamani wapi hiii dunia mwaipeleka??? Matapeli bwana jamani mmmmh.

  i dont buy that story at all
   
 16. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hebu mwana jf akipigiwa na rangi nyekundu apokee tupate uhakika:becky::confused2::glasses-nerdy:
   
 17. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hebu tusaidiane huu utata, leo umeenea uvumi ETi ukipigiwa simu imeandikwa prvate au call kwa red colour, eti usipokee, ni mionzi hiyo ukipokea upararaizi na kufa. Kweli tekinolojia hii inawezekana!?
   
 18. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimeambia na mama yangu kutoka kijijini

  Lakini uvumi huu ulikuwa umeenea kenya kwa siku za karibuni sijui kama ni kweli au ni propaganda tu
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
Loading...