Member mwenzetu Nyivonduma sir amepata ajali mbaya ya pikipiki

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Akiwa anaelekea katika shughuli zake za kila siku katikati ya jiji majira ya asubuhi jana, na amelazwa MOI. Amevunjika mguu mara 2 wa kulia mkono wa kulia pamoja na maeneo ya kichwa yamepata majeraha. Hali yake inaendelea vizuri kwa sasa. Nitakuwa habairisha zaidi maendeleo ya afya ya member mwenzetu.

Tumuombee Mungu apone haraka na kurejea katika shuguli zake za kila siku.
 
Pole zake nyingi sana may he get well soon, lakini kuna taarifa ili toka jana kama hii lakini jina lilikuwa sio la nyivonduma sir, Super Star thanks anyways for the alert.
 
.....Hizi tukutuku zinaleta balaa sana TZ, tangia zimeanza kuingia kwa fujo TZ zimesababisha ajali nyingi sana.......za waenda kwa miguu, magari, mifugo, baiskeli, tukutuku kwa tukutuku etc etc.......! Binafsi I don't want to hear about them.......!

Anyway, get well soon mzee urudi kwenye mipambano...u are luck hatusemi RIP!
 
Get well soon!!

Fidel tafadhali weka tukutuku yako sokoni!!!:confused2::confused2:
 
Wakuu nitaprint comments zenu na mchana nitampelekea
 
Aisee mpe pole sana I know God is with him katika kipindi hiki kigumu kwake na kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu atapona majeraha aliyonayo.Hizi pikipiki hatari kweli sasa hivi
 
Confused, jana nilisikia member mwingine AZIKIWE kapata ajali, sasa naona mwingine Nyivonduma; ni wawili tofauti mkuu?

Mkuu, mpe pole sana. It's really confusing
 
Fidel tafadhali weka tukutuku yako sokoni!!!:confused2::confused2:

Mi sitoacha kutumia tuktuk nina uzoefu nazo lakini si za mchina.
tuktuk za mchina hazifai kuna jamaa alikuwa ananifukuza nikashangaa tairi la mbele linaniovateki kucheki nyuma jamaa anavingirika dah huyu mchina atamaliza ndugu zetu.
Pole dereva mwenzangu tupo pamoja
 
Confused, jana nilisikia member mwingine AZIKIWE kapata ajali, sasa naona mwingine Nyivonduma; ni wawili tofauti mkuu?

Mkuu, mpe pole sana. It's really confusing

Mkuu simfahamu azikiwe mimi namjua Nyivonduma, ndivyo tumekuwa tunachat naye kama kuna mwingine tena da mbona balaa hili kwenye piki piki? kweli ukifika warding pale MOI utagundua hii dar kuna ajali nyingi za pikipiki
 
Pole sana Nyivonduma.
Mkuu tufahamishe yupo ward no ngapi tafadhali, si mbaya tukapita kumuona.
 
Back
Top Bottom