Hii sio nzuri kabisa kwani inachochoe ubaguzi wa imani. Na wewe Buchanan ni mbaguzi.
Ok, ngoja basi nichochee umoja wa imani (kama upo anyway): HIZO ALAMA ZINALETA "AMANI" DUNIANI! Umefurahi sasa na unaona kuwa mimi SI mbaguzi?
Na hiyo signature yako: "Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu" (Qurani 109:6), inaleta UMOJA, au sio?
Ok, ngoja basi nichochee umoja wa imani (kama upo anyway): HIZO ALAMA ZINALETA "AMANI" DUNIANI! Umefurahi sasa na unaona kuwa mimi SI mbaguzi?
Na hiyo signature yako: "Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu" (Qurani 109:6), inaleta UMOJA, au sio?[/QUOTE/]
amani ya chinja chinja hiyo buchaman ndg yangu usiombe ikukute.
Sijakuambia habari ya umoja wa amani, nazungumzia ubaguzi kwa kutoheshimu imani za watu. Kwa hao wanawake hizo ni alama za uislam ila kwa huyo mwanaume hilo ni vazi la kiarabu la kimila haliusiani na uislam kabisa kwahiyo hapo umeonesha ubaguzi wa rangi, utaifa na ukabila