Gharama za Bango

Gharama za Bango

Joined
Feb 15, 2009
Posts
99
Reaction score
2
Heshima mbele wakuu, Naomba yeyote aliye na gharama halisi za kuandaa, kusimamisha na kulipia bango kuuuuuubwa ka ni yaonayo barabarani nchi nzima please.

Kuna mtu alipata kunambia kuwa moja kwa hapa mjini ulipiwa Milion 40 kila mwezi, sina hakika sana na hilo ka kuna mwenye dataz please atumwagie humu.

Naomba kuwasilisha
 
Mkuu mabango yapo ya saizi nyingi, specify which size?
Onyesha breakdown, hii figure ya 40milo ni kubwa sana mkuu!!
 
Binafsi sifahamu labda tumuulize mkurugenzi wa habari pale ikuru, maana hiki kipindi atakuwa up to date
 
tungeuliz Makamba lakini kwa vile yamelipiwa na serikali, nadhani tumwulize waziri wa fedha.
 
Kwa bango la size ya 36 square metres (6 m x 6 metres, 3 metres x 12 metres, 4 m x 9 metres) gharama za uchapishaji ni Shs 1,000,000 kila moja (kama unayo design yako) na ubandikaji barabarani Shs 1,500,000 kila mwezi. Hapo inakuwa Shs 2,500,000 kwa bango moja kwa mwezi kabla hujaweka gharama za halmashauri ya jiji / manispaa za kila mwezi, kodi ya VAT na nguvu kazi / vijana wa kutundika. Ghrarama za design zinategemea ni michoro au picha za aina gani unaweka, kama ni binadamu utahitaji kuwalipa bakshish/consent fee ya kupose nk. Other wise watafute outdoor au wadau wao watakupa latest quotations.
 
Mkuu hilo wazo nilikuwa naongea na wife jana tu, inaweza kuwa deal nzuri sana hii. vp gharama za kusimamisha bango lako la ukubwa wa kati (10sqm, 20, au 30)? Na vp kuhusu bei za "plotter" ya kuchapa mambango makubwa bei zake vp? Tufahamishane wadau, huku maporini outdoor hawapo!!
 
Back
Top Bottom