Mii si MBUMBUMBU kwa huu UMASKINI WA TANZANIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mii si MBUMBUMBU kwa huu UMASKINI WA TANZANIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bosskilala, Sep 26, 2010.

 1. bosskilala

  bosskilala New Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mii si MBUMBUMBU
  Hivi inanishangaza sana kuona Serikali ya Tanzania inavyoagiza Magari ya Kifahari kama Toyota Land Cruiser V8 nchini JAPAN

  Gari moja ni zaidi ya TSH 60,000,000/ (MILIONI SITINI)
  Utashangaa sehemu fulani hapa nchini, JAPAN imetoa MSAADA wa kuchimba KISIMA CHA MAJI CHA TSH 3,000,000 (MILIONI TATU)

  Pesa za kununua magari zipo lakini za kuwajengea wananchi kisima hazipo.

  MI SIO MBUMBUMBU

  TUAMKE WATANZANIA
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,475
  Likes Received: 19,870
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna data nyingi tu ukianza kuzichanganua unakuja kukuta misaada wanayodai ni misaada haizidi hela ambayo tunaitumia kuimport vitu..
   
 3. m

  muafaka Senior Member

  #3
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nadhani una maana DC wa Ngorongoro aende Arusha Mkoani kwa CARINA au VITARA!!! (1 Week my friend)
   
 4. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #4
  Sep 26, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45


  Mkuu wa wilaya ya ILALA eti nae unaweza mkuta akawa na gari kama hilo , hv jamani magari hayo na gharama zake kwa wilaya za mijin na pacpo safari nying c Escudo tu itatosha?
   
 5. m

  muafaka Senior Member

  #5
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  At least uwe rational basi katika judgement zako siyo kutoa lawama jumla jumla tu. There are situations where hata ungekuwa wewe you would need a similar transport. Waziri wa miundo mbinu anatakiwa kutembelea kazi za ujenzi wa barabara maeneo mbalimbali anaweza kwenda na CRESTA kigoma!!! may be hao ambao kazi zao ziko maeneo ya karibu.
   
 6. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kwani lazima aende Kigoma kwa V8. Precision Air hazifiki uko?
   
 7. m

  muafaka Senior Member

  #7
  Sep 26, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  To me it sounds as if that is even a more costly approach, don't you think?
   
 8. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Land Cluser V8 ni USD 63,200 hapo weka CIF dar inafika 65,500 hivi - Ushuru usiweke sababu wenyewe wanayotoa tu si ni ya serikali. So jumla V8 moja kuliltea bongo ni Tshs. 98,250,000/=

  Serikalini tu V8 zipo zaidi ya 200, piga hesabu kwa zote kabla ya running costs ni 19,650,000,000/= Billion 19.7 Ttshs.

  hatujaguza sehemu zingine ambazo pesa kibao zinapotea hii pesa ni magari tu ya serikali na tena si yote. Serikali ambayo ni maskini kabisa duniani.

  Afya duni
  Elimu duni
  Matumizi juu

  Kweli Matumizi zaidi, Kuombaomba zaidi, umaskini zaidi - Chagua SISIEM ujute miaka mingine mitano.
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  By the way hatuhitaji kuwa na DC wala mkuu wa mkoa, kwani hamna kazi wanazofanya huko zaidi ya kuwa wanasiasa na ndio maana tuna WABUNGE ambao ni wakuu wa mikoa.
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  Fafanunua ndugu muafaka, Ina navyotakiwa ni kuwa atleast kila Mkoa una kuwa na hizo V8 moja inatosha na huyo waziri akifika huko atapanda hiyo kama anaenda kutembelea huko wilayani, na pia kwa Dar es salaam hatuhitaji kuwa na magari kila V8 kila idara, magari yatakuwa pool kama mtu anahitaji V8 anakwenda kuchukua na sio V8 ya kumpeleka Dodoma wakati barabara ni ya lami GRAND VITARA inatosha.
   
 11. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  karibu boss, jf kweli we si mbumbumbu, kama ms, jeykeywaukweli,mtu wa pwani................................
   
 12. t

  truth Member

  #12
  Sep 26, 2010
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji aina hiyo ya hoja siyo lawama pekee kwa kuwa haijengi, Bosskilala angejifunza kufikiri hivyo hatua kadhaa zingepigwa katika maendeleo
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Sep 26, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Atumie gari affordable aonje ladha ya shida ana adha baada ya yeye na kamati zake kuiba fedha za miradi ya barabara
  akishindwa apande farasi
   
Loading...