Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 149
Redio ya watu clouds Fm ambayo kipindi cha kombe la Dunia walikua wahabarishaji wakubwa wa kile ambacho kilikua kinaendelea huko South A. bila ya upendeleo, Kulikoni Uchaguzi wetu ambao ni jambo muhimu kwetu kuliko lile Kombe, kama leo katika kipindi ambacho nilikua napenda kukisikiliza sana cha Jicho letu wmeishia kutangaza habari za ulaya, ugaidi na kupiga BOLINGO. Hii kweli ni Redio ya watu?, watu gani?. Nawasilisha Mada kwa wachangiaji.